Upendo Kilahiro apewa tuzo nchini Marekani


Mwanamuziki wa nyimbo za injili toka nchini Tanzania Upendo Kilahiro ametunukiwa tuzo maalum iitwayo INSPIRATIONAL MUSIC AWARD kutoka  bodi ya wakurugenzi ya SAB imetoa kwa Upendo kutambua mchango wake mkubwa katika muziki wa injili wa katika Afrika Mashariki hususani Tanzania kwa kuwahamasisha wengi na kuwasaidia wengi kwa uimbaji wake na pia kwa kuendelea kuutambulisha muziki wetu kwa anga za kimataifa.


 

 


Sehemu ya huduma aliyoifanya Upendo Kilahiro alipokua nchini Marekani waweza tazama picha hapa chini

 
 
 
 
 

Comments