MCH. CATHERINE KYAMBIKI ANAKUKARIBISHA MKAZI WA MAKAMBAKO NA MIJI YA JIRANI KATIKA MKUTANO WA SIKU 5 ZA UKOMBOZI NA UPONYAJI

 Mch. Catherine Kyambiki ni mchungaji na ni mwimbaji mkongwe wa nyimbo za Injili Tanzania.

 Huyu ni mmoja wa waimbaji wa kwanza Tanzania kuanza huduma ya uimbaji hata kama walikuwepo ila alifanya kazi kubwa kuhakikisha huduma ya uimbaji inasonga mbele. 

Hivi sasa ni mchungaji maeneo ya Makambako na sasa amekuandalia mkutano mkubwa kabisa. Unaombwa sana kufika na ujitahidi kuja na mtu. Mungu akubariki sana.

Comments