Kweli Mungu ni Mungu wa wanyonge, leo hii Manesa Sanga aliyekuwa 
anauza nyanya mitaani..Mungu ameweza kumuinua hapa alipofikia na sasa 
kufanya tamasha kwaajili yako wewe uliyekuwa katika ndoa na wewe 
unayetarajia kuwa katika ndoa. 
Wakazi wa Iringa mmpokee mtumishi huyu wa Mungu...Kuna kitu kitaenda kufanyika katika ulimwengu wa KIROHO.
.Usikose kabisa kufika.
Wakazi wa Iringa mmpokee mtumishi huyu wa Mungu...Kuna kitu kitaenda kufanyika katika ulimwengu wa KIROHO.
.Usikose kabisa kufika.
![]()  | 

Comments