WAKAMUULIZA SCHOLAR ''UKO TAYARI KUAMBATANA NA MTU HUYU?'' SCHOLAR AKAIBU NDIOO NITAAMBATANA NA PETER MABULA. (Mwanzo 24:58)
''Wakamwita Scholar wakamwuliza, Je! Utakwenda na mtu huyu(Peter?)? Akasema, Nitakwenda.(Mwanzo 24:58.) Tunamshukuru sana MUNGU wa mbinguni: Peter na Scholar Mabula baada ya kufunga ndoa. |
Mimi Peter Mabula Na Mke wangu Scholar Mabula tunaendelea vyema sana.
Katika sherehe hiyo ya kufunga ndoa kulikuwa na matukio mengi sana na hakika ni MUNGU tu maana nilimuona MUNGU katika hali ya ajabu sana. Namshukuru sana BWANA YESU kwa jina lake kuu la ulinzi na uzima.
leo nakuletea matukio kidogo ya nje ya kanisa na kabla ya ukumbini.

Mbarikiwe sana na hii ni kwa sababu marafiki zangu wengi sana walioniomba niweke picha hizo za matukio ya harusi yangu. ubarikiwe sana.
Tukijiandaa kwenda kanisani. |
Wadogo wa Scholar Mabula. |
Namshukuru MUNGU kwa hili. |
Tukiwa na Mdogo wangu Mabula Moses |
Tukiwa na Mama |
Tuko na mama |
Tuko na kaka yangu mkubwa Samwel Mabula |
Niko na msimamizi wangu Mr Anderson. |
Scholar na msimamizi wake mrs Anderson. |
Scholar Mabula |
Scholar na wadogo zake. |
Tunamshukuru MUNGU wa mbinguni. |
Asante YESU kwa ushindi huu. |
ka poooozi kakaliiii |
Mrs Peter Mabula akiwa na wadogo zake. |
Watoto wadogo pia walikuwepo ili kuchukua upako wa dada yao. |
Kila mtu na mke wake , hapa tukijiandaa kwenda ukumbini. |
Nimekuchagua wewe uwe wangu wa maisha. Namshukuru MUNGU kwa ajili yako. |
Kaka usiache kutuombea. |
bwana harusi Peter Mabula akiwa na mashemeji zake. |
Comments