Apona ugonjwa wa ajabu baada tu ya maombezi.

Neema kabla ya maombezi na baada ya maombezi huko Ufufuo na uzima Kigoma.


JINA LA BWANA LIBARIKIWE!
Ni muujiza na ni hatua kubwa kwa binti huyu (NEEMA) aliyekuwa hawezi kukaa wala kula wala kuongea, kwa muda wa mwaka 1.
Alikuwa akitokwa na damu na vitu kama usaha mdomoni, baada ya maombi hivi sasa Neema anaongea, anakaa na anaweza kula wala ule uchafu hautoki tena.

BLESSED THE NAME OF JESUS.
It’s a miracle and the highest stage to this lady (Neema) who was unable to seat, to eat even to speak for (1) one year.
She was bleeding and other dirty liquids were coming out of her mouth. After prayers Neema is able to speak, she can seat alone and feed herself. And the liquids in her mouth are no longer coming out. UFUFUO NA UZIMA-KIGOMA

Comments