![]() |
Na Victoria Osteen |
Kama umeokoka, una roho wa Mungu ndani
yako. yule aliyemfufua
Kristo kutoka wafu anaishi ndani yako. Wewe si wakawaida; wewe ni mtoto wa
Mungu aliye juu.
Nikifikiri juu ya Maria mama mteule wa Yesu. Yeye walionekana
kawaida kwa watu walio karibu yake, lakini Mungu alimchagua yaye na kufanya
kitu cha ajabu. Alimchagua yeye kumleta
Yesu dunia na uangaze nje utukufu wake.
Leo, mimi na wewe tuna kusudi hili lakumleta Yesu duniani na
kuangaza nje utukufu wake. Haijalishi upo eneo gani duniani, kuna watu karibu
na wewe ambao wanahitaji ulichonacho. Sikiliza sauti ya Roho Mtakatifu anapotaka
kutoa mwanga kwako. Usiogope kwenda kwa watu wengine, kushiriki neno la
wema au hata tabasamu. Kuwa bora kwa Mungu. Kuwa mfano wa wema wake. Kuwa
mpatanishi. Kuwa mwepesi kutubu wakati unapojua umefanya kosa. Onyesha Upendo
kwa watu. Huwezi jua nini kinaendelea
katika maisha ya watu wengine wakati wewe umekukutana nao. Kuumiza mioyo ya wengine
ndio sababu ya kufunga nia ya Mungu .
Kunaweza kuna mengi yanayoendelea katika maisha yako leo.
Unaweza kufikiri, "Jinsi gani unaweza kuwafikia watu wakati wewe umeumizwa
sana?" Ukweli ni kwamba, wakati
sisi tumeumizwa, hivyo ni wakati bora wa kuwafikia wengine na kupanda mbegu ya
matumaini katika maisha yao. Usipojijali/jiangalia mwenyewe na kuzingatia
kusaidia wengine, Mungu atafanya kitu cha tofauti juu yako. Atakupa nguvu
ambayo hukujui kama unayo. Yeye atakupa amani ipitayo fahamu zote. Atakupa furaha isiyo na kifani , kamili na yenye
utukufu.
Yesu alisema Ufalme wa Mungu upo ndani yako, na ni ufalme
usio na mwisho. Hakuna mwisho wa nguvu zake ; hakuna mwisho wa furaha yake,
hakuna mwisho wa amani yake, na hakuna mwisho wa nguvu zake. Hiyo ni maana kuwa
wewe umekamililika kwa ajili ya chochote
kinachokukabili leo na kwamba Mungu atafanya
kwaajili yako. Kumbuka, Mungu alichagua kuishi ndani ya Maria, na amechagua
kuishi ndani yako. Amekuchagua wewe na kukupa uweza wake wa ajabu kumuwakilisha katika dunia.
"Lakini kama ilivyoandikwa: Mambo ambayo jicho
halikuyaona wala sikio halikuyasikia,(Wala
hayakuingia katika moyo wa
mwanadaamu,Mambo ambayo Mungu aliwaandalia wampendao." (1 Wakorintho 2: 9).
![]() |
Victoria na Joel Osteen |
If you are a born again
believer, you have the spirit of God inside of you. The same power that
raised Christ from the dead dwells in you! You are not ordinary; you are
a child of the Most High God!
I think about Mary, the chosen
mother of Jesus. She seemed ordinary to the people around her, but God
chose her to do something extraordinary. He chose her to bring Jesus to
the world and shine forth His glory!
Today, you and I have this same
extraordinary purpose—to bring Jesus to the world and shine forth His
glory! No matter where you are in the world, there are people around you
who need what you have. Listen to the voice of the Holy Spirit inside
when He prompts you to shine your light. Don't be afraid to reach out to
others, to share a word of kindness or even a smile. Be your best for
God. Be an example of His goodness. Be a peacemaker. Be quick to repent
when you know you've made a mistake. Love people. You never know what is
going on in another person's life when you encounter them. Loving
hurting people is what's closest to the heart of God.
There may be a lot going on in
your life today. You may be thinking, "How can I reach out to someone
when I'm hurting so badly?" The truth is, when we're hurting, that's the
best time to reach out to someone and sow a seed of hope into their
life. When you take your eyes off of your own circumstances and focus on
helping others, God will make up the difference. He'll help you tap
into strength you didn't know you had. He'll give you peace that passes
understanding. He'll give you joy unspeakable and full of glory!
Jesus said the kingdom of God
is inside of you, and it's a kingdom that has no end! There's no end to
His strength; there's no end to His joy; there's no end to His peace,
and there's no end to His power! That's mean you are fully equipped for
whatever you are facing today and for all that God has for you to do.
Remember, God chose to live inside of Mary, and He chooses to live
inside of you. He chose you and equipped you to be His extraordinary
representative in the earth!
"However, as it is written:
'What no eye has seen, what no ear has heard, and what no human mind has
conceived' — the things God has prepared for those who love him." (1 Corinthians 2:9, NIV)
Comments