Wito maalum
umetolewa na kituo cha utangazaji cha Faith Broadcasting Network
kikiwataka watu wote duniani waungane mara moja katika Kumuombea
Mchungaji Ben Hinn ili Mungu apate kumponya mtumishi huyo baada ya
kupata tatizo la ghafla la Moyo hali iliyopelekea kukimbizwa maramoja
Hospitali na kulazwa kwenye Chumba cha wagonjwa wanaohitaji uangalizi
maalum yani ICU.
Comments