FLORA MBASHA ANAWAOMBA WATU WOTE DUNIA KUWA MAKINI NA MATAPELI WANAOTUMIA JINA LAKE KATIKA MTANDAO WA FACEBOOK
Frola Mbsasha |
Flora Mbasha anapenda kutoa taarifa maalumu kwa watu wote dunia kuwa makini sana na matapeli wanaotumia jina lake katika mtandao wa Facebook. Matapel hao wamefungu akaunti kwa jina lake na wamekuwa wakiweka taarifa mbalimbali ili kuzidi kumchafua mtumishi huyu wa Mungu. Kwahiyo watu wasifikiri kuwa wanachati na Flora Mbasha, hao ni matapeli.
Comments