MTUME PETER NYAGA AMETEMBELEA ASKOFU GWAJIMA HOSPITALI.


Mtume Peter Nyaga wa RGC Miracle Center Tabata Chang'ombe amemtembela Askofu Dk Josephat Gwajima ambaye amelazwa katika Hospital ya TMJ. 
Mtume Nyaga alisema kwamba Askofu Gwajima anaendelea vizuri na ametuma salama kwa wananchi wote wa Tanzania na kusema Hajafa, yuu hai na hatakufa hadi atimize ndoto.

Binafsi nabarikiwa sana na watumishi wa MUNGU wa namna hii.
Injili itasonga mbele hadi kwenye kusudi kuu la BWANA YESU KRISTO.
Ni kama Mtume Nyaga anasema  ''What God Can do No maN can Do!, Gwajima Pokea Uponyaji wako saa hii




Mtume Peter Nyaga akimjulia hali Askofu Gwajima.


Comments