Hatimaye Askofu Gwajima aweza kutembea mwenyewe bila WheelChair


Mchungaji nasikia miguu inatetemeka..!!naomba nisaidie nisimame.....nataka kutembea mwenyewe....nataka kutembea mwenyewe......Roho wa Bwana yu juu yangu nataka kutembea

Siwezi kuombea wengine mimi nikaendelea kukaa kwenye kiti cha walemavu......bora nife kuliko kukaa hapa...Yesu nimechoka kukaa kwenye hiki kiti nataka kutembea mwenyewe"



 Maneno hayo alikua akiyasema Askofu wa kanisa la ufufuo na uzima Tz Dr J Gwajima wakati kanisa wakiwa wanaomba ndipo alipoamka na kuanza kutembea tena mwenyewe jana kwa mara ya kwanza katika ibada

Comments