MUNGU ANATAFUTA WATU WAAMINIFU


 Mchungaji mmoja alinipa ushuhuda huu ambao napenda kukushirikisha ndugu yangu mpendwa!

 FUATILIA USHUHUDA KWA MAKINI UPATE MAARIFA.

 Siku moja nilipokea simu kutoka kwa umoja Wa wachungaji morogoro ukiniomba niende kuhudumu kwenye kongamano kubwa ambalo wameliandaa!! nilikubari ombi lao maana moyo Wangu umejitoa kwa bwana kumtumikia!! Siku moja ambayo nilikuwa najiandaa kwa safari.niliamua kuomba Mungu ili ulinzi wake unifunike!! Kitu ambacho nilikuwa nakisikia Kwenye moyo wangu Ni ROHO YA AJARI ikinifuata!!lakini sikuweza kuogopa! nilikemea roho ya ajari na kujiandaa na safarii!!!! Asubuhi ilipofika!niliamua kuondoka na mke wangu jambo ambalo nilimshutkiza!! Kipindi naendesha gari nilisikia moyoni mwangu roho ya ajari ikinijia!!niliendelea kuendesha gari lakini nalipofika mbele kidogo!!gari moja ilitokea huko pasipojulikana ilinigonga na kunitupa kwenye mtalo!! Sikuwah kusikia maumivu kama Yale!!Nilivunjika mbavu tatu!!(nadhani kwa wale madactari wanaelewa vizuri!!ni bora uvunjike miguu kuliko mbavu) Niliumia sana!!nilikuwa nasikia jinsi mifupa iliyovunjika jinsi ilivyokuwa ikichoma nyama zangu kitu ambacho kilinipa maumivu sanaa! Wasamalia wema walikuja kunichomoa kwenye gari!! mimi pamoja na mke wangu!!lakini mke wangu hakuhumia sana!! Mke wangu alikuwa Analia sana alipokuwa akiniangalia!!!! Kipindi nimepandishwa kwenye gari kwenda hospitalini!! nilikuwa nasikia maumivu kupita maelezo!!(jambo ambalo lilimuumiza sana mke wangu! Kipindi gali linatembea!!nilikuwa nasikia maumivu sanaa maana linapita kwenye makorongo na kwa mwendo Wa kasi ambao alikuwa anataka anifikishe hospitalini Zaidi iwezekanavyo iliniwah kutibiwa!! 

NILIZIDI KUUMIA SANA lakini sikuwa na jinsi! Nilisema maneno haya ;YESU NATAKA NIFE KIFO CHA AMANI LAKINI SIYO KWA MAUMIVU HAYA!!
 Nikasema tena YESU KUMBUKA NILIVYOKUWA MWAMINIFU MBELE ZAKO!!NIMEKULETEA WATU WENGI MBELE ZAKO!! kabla sijamaliza kusema!!!nilisikia mkono mkubwa ukishika Mbavu zangu na kunyoosha(kiasi chakwamba niliweza kupiga kelele!!na deleva aliogopa sana na kuvamia mtaro) Baada ya hapo!nilijisikia vinzuri na kutoka ndani ya gari!! kitendo kile kiliwaacha mke wangu na dereva mdomo wazi!waliona kama ndoto!!! Wakaniambia umeponaje!nikasema ni Yesu ameniponya! Ndipo niliposikia sauti moyoni mwangu ikisema: MWANANGU NIMEUONA UAMINIFU WAKO NA UTUMISHI WAKO nami nimekuponya kwa uaminifu wako!!! 
 _________mwisho Wa ushuhuda ________ 

Ooooooooh!!!KUMBE MATATIZO YANGU YANAWEZA KUISHA KWA UAMINIFU WANGU KWA MUNGU?? 

JE MIMI NI MWAMINIFU??

(swali la kujiuliza) Uaminifu ni nini-kufuata au kutekeleza maagizo uliyoambiwa!! Neno uaminifu Kiyunani ni Pistos, ambalo linamaanisha imani. Hili neno linazungumzia mtu anayeweza kuaminika, mtu anayeaminika, na pia mtu mwenye imani. Tu wana wa Mungu, watakatifu ambao wako ndani ya makanisa. Tuliokolewa, tukabatizwa na tumefanyika watakatifu. Tulipokea uzima wa Bwana, ambao unafananishwa na maji yaliyotiririka kutoka ubavuni mwake msalabani (Yohana 19:34). Tu watu tulionunuliwa kwa damu ya thamani ya Bwana (1 Petro 1:18-19).Tu wa Mungu kikamilifu. Kwa hivyo, Mungu ana sharti juu yetu. Anataka tuwe waaminifu. Ni wale tu walio na uzima wa kiungu na walio katika Roho ni waaminifu. Jambo muhimu katika kitabu cha Wakolosai ni kuelezea Kristo aliyejumlika. Huyu mtu wa ajabu ndiye kichwa chetu. Kwa hivyo, tunahitaji kuwa waaminifu kwa huyu Kristo; tunahitaji kuwa waaminifu kwa Kichwa. Imeandikwa Isaya38;1-8 Siku hizo hezekia aliugua katika hali ya kufa;na isaya nabii mwana Wa amozi akamwambia bwana asema hivi,Tengeneza ya nyumbani yako:maana hutakufa wala utapona! 2.Basi Ezekia akajigeuza akaelekeza uso wake ukutani,akamwomba BWANA 3.Akasema eeh BWANA,kumbuka haya,nakusihi,kwamba nilikwenda mbele zako katika kweli na moyo mkamilifu,na kutenda yaliyomema machoni pako.Hezekia akalia sana sana. 4.ikawa,neno la Bwana likamjia isaya kusema: 5.Enenda ukamwambie Hezekia,BWANA,Mungu Wa daudi,baba yako,asema hivi, MIMI NIMEYASIKIA MAOMBI YAKO,NIMEYAONA MACHOZI YAKO;TAZAMA NITAZIONGEZA SIKU ZAKO,KIASI CHA MIAKA KUMI NA MITANO. 6.Nami nitakuokoa wewe,na mji huu,na mkono wa mfalme Wa ashuru,nami nitalinda mji huu. 7.jambo hili liwe ishara kwako itokayo kwa BWANA.Ya kuwa Bwana,atalitimiza jambo hili alilolisema; MAMBO 

TULIOJIFUNZA KUTOKA KWA HEZEKIA!! 1:Alikuwa mwaminifu kwa Mungu -alimueshimu Mungu -alikuwa mnyekevu/mtii Ndugu Yangu mpendwa unaweza kujiuliza mwenyewe JE MIMI MWAMINIFU?? Je na mtii Mungu?? Je nimekuwa mwaminifu kwa kumtolea Mungu? Ndugu nakusihi kwa jina la Yesu ubadilike ndugu! ACHA UZINZI Dada funga sket yako acha uzinzi!!unakuta mdada unaenda kanisani lakini mnzinifu DADA yangu Mungu adhihakiwi maana chochote apandacho mtu ndicho atakachovuna!! FUNGA SKETI YAKO KAA NA YESU!! 

*Acha dhambi Na wewe MWANAMUME uliyozea kufungua zipu lako je wew una akili?? Maana biblia inasema Anziniaye na mwanamke hana hakili kabisa! Ndugu yangu Dada/kaka kuweni waaminifu kwa Mungu ili muweze kubarikiwa!! -mche Mungu nawe utapata maarifa!! Paulo anasema; Nami namshukuru kristo Yesu Bwana wetu aliyenitia nguvu kwa kuniona mwaminifu akaniweka katika utumushi wake 13 ingawa hapo kwanza nalikuwa mtukanaji. Mwenye kuudhi watu mwenye jeuli lakini nalipata rehema kwa kuwa nalitenda hi yo kwa ujinga na kutokuwa kwa imani (1Timotheo1:12) 

S E M A M A N E N O H A Y A KWA KUMAANISHA upate rehema kwa Mungu

 “Mungu Baba, nakuja mbele zako na mbele ya Hakimu wa Ulimwengu, Yesu Kristo. Nakiri kutoka moyoni kwamba mimi ni mwenye dhambi NA SIKUWA MWAMINIFU MBELE ZAKO. Nimekutenda dhambi mno, nimeasi na kuwa mbali na mapenzi ya Mungu. Mimi ni mchafu mno, kwa dhambi hizi nastahili ghadhabu au hukumu yako kali, lakini sasa nakusihi unisamehe dhambi hizi. Narudi kwako na kughairi kabisa na sitaki tena kuyafanya yote yaliyo kinyume na mapenzi yako, lakini kwa nguvu zangu na uwezo wangu siwezi. Nahitaji kukupendeza lakini sina uwezo wangu mwenyewe wa kuweza jambo hili. Nahitaji msaada wako. Ninaamini maneno yako yote na kuwa tayari kuyatenda. Ninaamini kuwa uliteswa na kufa kwa ajili ya dhambi zangu. Naamini ulimwaga damu yako ili nipate ondoleo la dhambi. Nahitaji damu sasa inisafishe na kuniosha uovu wangu wote. Naamini kwamba katika damu yako kunanguvu ya kushinda dhambi. Nipe nguvu hiyo sasa ili nikutii katika mambo yote. Nizaliwe mara ya pili kwa Roho wako. Nakukubali Yesu uwe BWANA wangu. Karibu moyoni mwangu unitawale. Niongoze popote kuanzia sasa. Lifute jina langu katika kitabu cha hukumu, liandike katika kitabu cha uzima. Asante kwa kunisamehe na kuniokoa na naahidi kuwa mwaminifu mbele zako! Napokea wokovu huu kwa shukrani katika jina la Yesu. AMINA. 

 MUNGU AKUBARIKI MPENDWA!! KUWA MWAMINIFU KWA MUNGU KUNA FAIDA!

Comments