![]() |
Solly Mahlangu |
![]() |
Christina Shusho katika mahojiano. |
![]() |
Waheshimiwa Mawaziri walikuwepo pia, Mwishimiwa Mhe. Kairuki, Mhe. Membe, Mhe. Mukangara, pamoja na Askofu Mwasota pamoja na Muandaaji wa Tamasha la Pasaka Alex Msama. |
![]() |
Rose Muhando kazini. |
![]() |
Kijitonyama Upendo group wakifanya makamuzi |
![]() |
Mwimbaji anayembariki MUNGU na watu wote,John Lisu |
![]() |
Rebecca Malope akiwa kazini. |
![]() |
Muhando akimtukuza MUNGU. |
![]() |
Mwanamuziki Rebeca Malope akiperfom na kuimba na mashabiki |
![]() |
Kama hujawahi kubarikiwa basi mbele ya hawa waimbaji wa Solly Mahlangu utabarikiwa tu. |
![]() |
mwanamuziki Solly Mahlangu |
![]() |
Mpiga Solo Guitar wa Solly Mahlangu |
![]() | |
|
![]() |
Mwanamuziki SollyMahlangu kutoka Afrika Kusini pamoja na mke wake na watoto wake wakiperfom katika Tamasha la Pasaka |
![]() |
Rose Muhando akiperfom katika tamasha hilo |
![]() |
Pastor,Faustine Munish na Upendo Nkone ndani ya tabasamu muruaa |
![]() |
Mh.Bernad Membe waziri wa mambo ya nje akimlisha Keki Mr.Alex Msama |
![]() |
Waimbaji wa Solly Mahlangu (Back Vocal) |
Credits:Uncle Jimmy
Comments