Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Labels

Friday, June 19, 2015

MADHARA 10 YA KUJICHUA PUNYETO (MASTURBATION) SABABU ZA KISAYANSI

Na Mchungaji Peter Mitimingi.

1. KUJICHUA INAUA NGUVU ZA KIUME:
Kitendo cha kujichua kinaweza kusababisha upungufu wa nguvu za kiume, kwani kipindi unajichua jua ile mishipa inayofanya uume usimame unakuwa unaichua na uume unakuwa umesimama kwa muda mrefu sasa ikitokea ukawa unafanya hivi kila siku ile mishipa inalegea na uume unakuwa unakosa nguvu hata ukisimama hauwi strong unakuwa kama umelegea. Binti anakuwa amejitunza anajua siku nitakapoolewa mambo yote yatakuwa sawa anafika ndani na kukuta kumbe! kiungo kilishatumika sana kabla ya wakati.


2. KUWAHI KUMALIZA MAPEMA KATIKA TENDO:
Mara nyingi mtu aliyezoea kujichua atakumbana na tatizo au changamoto ya huwahi kumaliza mapema pindi akiwa anafanya mapenzi na mwezi wake na wakati mwingine uume hushindwa kusimama kwa mara nyingine na kujikuta anashindwa kurudia tendo ikiwa mwenzi wake bado hajaridhika na anahitaji kuendelea na tendo hilo.


3. Huchangia Kuleta Uharibifu Katika Mishipa ya Fahamu.
Wanaume wengi sana wanatumia mikono mikavu kujisaga, wengine ni mafundi "garage" mikono yao imezoea kushika vyma na vitu vizito, weingine ni mavundi ujenzi mikono yao imezoea kushika mawe na matofari, wengine ni wakulima hodari wamezoea kushika jembe mpaka mikono imeota sugu. Kile kiungo ni laini sana, misipa yaa kiungo hicho haikukusudiwa isuguliwe na mikono mikavu na migumu kama hiiyo. Jambo hili huwafanya waharibu mishipa ya fahamu inayounganisha uume na mfumo uliopo kwenye ubongo.
Uharibifu huu humfanya mwanaume apoteze msisimko wa kujamiiana au hata akiupata humfanya ashidwe kufikisha hisia zake kisawasawa hasa akikutana na mwenzi wake ambaye sehemu zake nyeti ni laini sana tofauti na mikono alozoea kujichua nayo.


4. Tatizo la Kihisia.
Jambo jingine hatari linalo mkabili anaye jichua ni upotevu wa hisia wakati wa kujichua kwa mfano ili afike kwenye kilele lazima akuze hisia zake kwa kiwango cha juu, pengine kupita ukweli halisi ataokutana nao pindi atakapokuwa na mke faraghani.


5. Anayejichua Hatoshelezeki.
Anayejichua hajitoshelezi mpaka amlete kwenye hisia mrembo kama Miss World au mwanamke Fulani mashuhuri kisha amvike utundu wa kimahaba ampe manjonjo hadi mwenyewe atosheke, kwa namna hii mwanaume mwenye kufanya mazoea ya kufanya hisia za wanawake warembo mbalimbali ambao hawezi kuwapata kwa hali halisi anapokutana na mke wake humuona kama wa kawaida sana kulinganisha na wale aliokuwa nao katika kujichua na hapo kamwe hawezi kusisimka mwili na hivyo kujikuta Uume wake husimama kwa kiwango cha chini sana.


1 comments: