![]() |
Mchungaji wa kanisa la ANBC Donnis na Nnunu Nkone wakiiweka wakfu Album yake Upendo Nkonne |
Mwanamuziki wa nyimbo za Injili kutoka
nchini Tanzania,Upendo Nkonne jumapili hii ameweka wakfu na kuzindua
Album yake mpya ya tano inayokwenda kwa jina la ""Omba Yesu Anasikia "
toka atoe album zingine za awali,uzinduzi ambao umefanyika nchini
Marekani ndani ya kanisa la All Nations BreakThrough Church (ANBC) - Gahanna Ohio.


Comments