![]() |
Marehemu Mtume John Komanya enzi za uhai wake na hapa akiwa na mke wake. |
Imekuwa ni simanzi kwa watu wengi na ni pigo kwa wana injili lakini kazi alyopewa na MUNGU ameimaliza na ndio maana MUNGU amemchukua.
Katika ibada ya kuuaga mwili wa apostle Komanya kanisani kwake watumishi wengi wa MUNGU walihudhuria na kuungana na familia ya marehemu pamoja na kanisa kwa ujumla. Baada ya kuagwa kwa Mwili Kanisani ilianza safari ya kwenda kuuweka mwili wa mtumishi huyo wa MUNGU katika Nyumba ya milele.
BWANA alitoa na BWANA Alitwaa hivyo siku zote jina la BWANA lihimidiwe.
Zifuatazo ni baadhi tu ya habari picha katika tukio hilo.
![]() |
Mzee wa upako Mchungaji Anton Lusekelo akisema neno kanisani hapo.. |
![]() |
Mtume Peter Rashid akiwasili kanisani hapo. |
![]() |
Wafiwa katika huzuni kubwa. |
![]() |
Mtume Peter Nyaga na Mtume Peter Rashid Abubakar pamoja na Apostle Mwingreza. |
![]() |
Mtume Peter Abubakar akisalimia na Pembeni ni Askofu Emmanuel Mwasota. |
![]() |
![]() |
Mchungaji Mwansasu alikuwepo pia. |

![]() |
baadhi ya watumishi katika hali ya huzuni. |

![]() |
Askofu Dastan Maboya akihubiri wakati wa ibada ya kuuaga mwili kanisani. |
![]() |
Mtumishi wa MUNGU Dastan Maboya akihubiri |
![]() |
Mchungaji Anton Lusekelo akiomba. |
![]() |
Mchungaji Lusekelo akifuatilia kinachoendelea. |
=Baada ya kuuaga mwili kanisani yalifuata mazishi.
![]() |
![]() |
Comments