MTIHANI WA UBATIZO.


BWANA YESU asifiwe.
Namshukuru MUNGU maana nilipata nafasi ya kuwafundisha waumini wapya kanisani kwa ajili ya kubatizwa. Mchungaji wangu alinipa nafasi na kuniambia nifundishe bila kutumia mwongozo bali ufahamu wa kuwaimalisha waumini wapya.
Niliwafundisha mambo mengi ila nikatoa maswali rahisi baada ya kuhakikisha wameelewa na hawawezi kuyumbishwa katika imani pekee ya uzima wa milele yaani kumpokea YESU KRISTO kama BWANA na Mwokozi wa maisha yao.


Mtihani ulikuwa kama ifuatavyo.
Unaweza kujipima na wewe ili kuongeza ufahamu.


PENTECOSTAL ASSEMBLIES OF GOD.
KAWE PENTECOSTAL CHURCH (KPC).


Mtihani kwa waliojifunza masomo ya ubatizo 2015.

1. Ubatizo ni nini?
…………………………………………………………………………

…………………………………………………………………………
…………………………………………………………………………
………………………………………………………………

2. Taja aina mbili (2) za ubatizo
(a)…………………………………………………………………………………………
(b)……………………………………………………………………

……………………..

3. Taja vitabu vitano (5) vya Biblia vilivyoko katika agano la kale na vitano katika agano jipya.

(a)vitabu vitano vya agano la kale
(i)…………………………………………… (ii)…………………………………………
(iii)…………………………………………. (iv)…………………………………………
(v)…………………………………………...


(b) vitabu vitano vya agano jipya
(i)………………………………………………. (ii)……………………………………..
(iii)…………………………………………….. (iv)……………………………………
(v)……………………………………………..


4. Ni matoleo yapi kama mtu uliyobatizwa unatakiwa uyatimize?
Taja matoleo ya aina mbili unayoyafahamu.
(i)…………………………………………………(ii)……………………………………


5. Sifa za mtu aliyobatizwa ni pamoja na hizi:-
(i) awe mtii kwa MUNGU.
(ii) Awe mtii kwa viongozi wa Kanisa
(iii) Awe na imani ya KRISTO kwa asilimia mia moja (100%)
(iv) Awe tayari kuitetea imani popote alipo na popote aendapo.
Ukiambiwa uongeze sifa moja utataja ipi ambayo haijatajwa?
Itataje …………………………………………………………………………………….
…………………………………………………………………………

……………………

6. Andika mstari / aya moja ya kwenye sura yoyote ya Biblia unayoifahamu
Mfano:- Waefeso 4:5 “BWANA mmoja , Imani moja, Ubatizo mmoja.”
Andika mstari mmoja unaufahamu wewe tofauti na huu,
…………………………………………………………………………

………………………………………………………………………
…………………………………………………………………
…………………………………………………………………
……..

7. Ubatizo gani wa maji ni wa kweli? Ambao watu wote kwenye Biblia walibatizwa kwa huo?
(a) Ubatizo wa maji machahe
(b) Ubatizo wa maji mengi
(c) Ubatizo wa maji ya bakuli [ ]


8. Maombi gani hujibiwa?
(a) Maombi kupitia jina la YESU
(b) Maombi kupitia jina la MUNGU
(c) Maombi kupitia jina la Mariamu
(d) Maombi kupitia jina la Ibrahimu [ ]


9. Uzima wa milele wataingia watu gani?
………………………………………………………………………

………………………………………………………………………
………………………………………………………………………
………………………………………………………………………


10. “………... Mimi ndimi njia , na ukweli, na uzima; mtu haji kwa Baba ila kwa njia ya mimi. – Yohana 14:6”
Maneno haya aliyatamka nani?

………………………………………………………………………
………………

                    **********MWISHO************
Imeandaliwa na
Peter M. Mabula


Yohana 3:5 – 6 “YESU akajibu, Amini, Amini, nakuambia , Mtu asipozaliwa kwa maji na kwa Roho , hawezi kuuingia ufalme wa MUNGU. Kilichozaliwa kwa mwili ni mwili ; na kilichozaliwa kwa Roho ni roho.

Ubatito ulifanyika  baada ya wanafunzi kufaulu.

Safari ya kwendwa kubatizwa katika  bahari ya hili, unaweza ukaiita safari ya mto Yordani

Watu 11 walibatizwa siku hiyo.

Comments