NI FANYE NINI ILI NIWE ZE KUZISHINDA TAMAA ZA MWILI/DHAMBI {1}

Na HERRY NJEJE

Bwana Yesu Asifiwe...
Ungana Nami ujumbe huu kutoka

Katika Biblia.
Neno Tamaa
Za Mwili Limeonekana
Katika Aina Mbalimbali
Za Tamaa  Za Mwili kama Biblia inavyosema
Wagalatia 5:19-21''
Basi matendo ya mwili ni dhahiri, ndiyo haya, uasherati, uchafu, ufisadi, ibada ya sanamu, uchawi, uadui, ugomvi, wivu, hasira, fitina, faraka, uzushi, husuda, ulevi, ulafi, na mambo yanayofanana na hayo, katika hayo nawaambia mapema, kama nilivyokwisha kuwaambia, ya kwamba watu watendao mambo ya jinsi hiyo hawataurithi ufalme wa Mungu. ''

mahali Hapa Tumeona Aina Za
Tamaa Za Mwili Au Matendo Ya Mwili lakini mimi nataka nigusie tu uzinzi na uasherati.

Maana Mahali Hapa Kuna Mashindano
Ya Vitu Viwili Yaani
Mwili Na Roho. roho na mwili hushindana.

Wagalatia 5:17 '' Kwa sababu mwili hutamani ukishindana na Roho, na Roho kushindana na mwili; kwa maana hizi zimepingana, hata hamwezi kufanya mnayotaka. ''

*mtu Atajiuliza, Je Mimi Ni Kijana Niliye Nimeokoka Bado Sijaoa
Tena Nafanya Kazi Ya Mungu Hivi Ni Vibaya Kuchanganya Kazi Ya Mungu Na Maswala Ya Mapenzi?

>Jibu Ni Ndiyo Tena Ni
Vibaya Sana Maana Katika Kitabu Cha {Mathayo 6:24-25}maandiko Yanasema Uwezi Kuwa Tumikia Mabwana Wa Wili.. PiaUtakuwa Umeondoka
Katk Kusudi La Mungu Maana Mungu Anapomuumba Mwanadamu humuumba Kwa Kusudi Maalumu
{Yer 1:4-5} 

Sasa Kina ChoMfanya Mtu Aondoke Katika Kusudi
La Mungu Ni Dhambi.


Mwanadamu Hujaribu  Kuipima Dhambi
Na Kuifanya Dhambi Hii  Ni Ndogo Lakin ukweli  Ni Kubwa sana

 Wakati Biblia
Katk {Kumbu 25:13-16}
Maandiko Yana Tukataz
Tusiwe Na Mawe Ya Kupimia Dhambi Maana
Mtoa Hukumu Ni Mungu.
Maana Kwa Mawazo Ya
Kibinadamu Twaweza
Sema Kufanya Hivi Sio
Dhambi Lakin "Mith 16:25 Inasema Ikonjia
Ionekanayo Safi Lakini
Mwisho Wake Ni Mauti..


*sasa Ni Vizuri Kwa Mtumishi Yeyote Wa Mungu Alieitwa Kwa Jina Lake.. Nilazima Kumtumikia Mungu Kwa
Uaminifu Wa Hali Ya Juu Na Kutii Maonyo Yake Maana Akataaye
Maonyo Huidharau Nafsi Yake {Mith 15:32,
Akataaye maonyo huidharau nafsi yake mwenyewe; Bali yeye asikilizaye lawama hujipatia ufahamu. }
Lakin Yule Apate Hekima Ujipenda Nafs
Yake {Mithal 19:8,
Apataye hekima hujipenda nafsi yake; Ashikaye ufahamu atapata mema. }....
*biblia Katika Mithl 18:22 Anasema Apatae Mke Apata Kitu Chema.
Ajasema Apatae Mpenzi
Hapana..Ila Mke Sasa
Ni Vema Kama Wewe Ni
Mtumishi Wa Mungu Kuamua Jambo La Busala Lisilo Chukizo
Mbele Za Mungu Kwa Kuamua Kuwa Na Mwenzi Wako.



Kuna mtu Aliniuliza Swali
*kwamba Ni Kwanini
Vijana Wengi Sana Miaka Ya Sasa hivi Ndoa
Zao Zimekosa Baraka Za Kimungu.?


=>jibu Ni Kwamba Katika Maisha Yao Kabla Ya Ndoa Yalikosa Utukufu Wa Mungu.. Pia Vijana Weng Sana Katika Kizazi Hiki Cha Leo Wanaoana Nje Ya Utaratibu Wa Mungu;maana Vijana Wengi Sana Kabla Ya
Kuwa Wanandoa Tayari
Walishakwisha Kujuana
Kimwili Wakati Biblia {1kor 7:1-2}imekataza
Maana Mtu Afanyae Zinaa Afanya Dhambi Tena Ktk Hekalu La Mungu Lilolo Takatifu
Maana Miili Yetu Ndiyo
Hekalu Takatifu La Mungu {1kor 6:17-20}
Maana Mtu Yeyote Asiye Kimbia Dhambi Hakika Dhambi Hyo Itamfanya Aangamie
{2timoth 2:22}{petr 2:11}{mith 6:32-35}

Jambo Jema Kwa Vijana
Na Watu Wote Walio Oa Ata Pia Wasio Oa Ni Kutembea Katika Kusudi La Mungu Maana Tamaa Hipo Kila
Sehemu Kwa Watu Walioa Au Ambao Bado Hawajaoa.

Ubarikiwe na 
Katika Sehemu inayofuata  Ikimpendeza Mungu Nitakuja Kueleza Namna Kushinda Tamaa Hizo Za Mwili..

Comments