TAMASHA LA MUNGU KWANZA LAFANA.


H1
Siku ya jana kulifanya Tamasha maalumu la kusaidia waimbaji wadogo/wanao chupukia wakishirikiana na KP Tanzania,Bbn Production pamoja na Umoja Production. Lengo la Tamasha hili ni kumsifu na kumwabudu Mungu pia kuwasapoti waimbaji wapya wanaochipukia na kukosa sapoti katika huduma zao. Vilevile kufanya biashara ya muziki wao katika kuutangaza kimataifa,kuwa na studio za audio na video za kisasa…kwahiyo mwimbaji atakayekuwa kwenye umoja huu kwa kujiunga kwa kiingilio cha Tsh 500000 tu atapata huduma za kurecordi free audio,video na kazi yake kusambazwa pia atapata Bima ya afya kwa mwaka mzima. Tamasha hili lilifanyika Urafiki Social Hall likiwa chini ya Erick Brighton.
IMG_7755 IMG_7759 IMG_7761     IMG_7769 IMG_7770 IMG_7771 IMG_7773 IMG_7774   IMG_7779  IMG_7782    IMG_7787          

Comments