YALIYOJIRI KATIKA MKESHA WA KUOMBEA UCHAGUZI.


Mtume Peter Nyaga na Mtume Vernon Fernandes katika ibada maalumu ya kuliombea taifa la Tanzania.
Ijumaa iliyopita kulifanyika mkesha mkubwa sana wa kuliombea taifa.
Mkesha huo maalumu ulifanyika  RGC Miracle Center, Kanisani kwa Mtume wa urejesho  Peter Nyaga.
Kulikuwa na mitume na manabii wengi na hakika ilikuwa moja ya ibada nzuri sana.
Ilikuwa maarufu kuombea pia Uchaguzi mkuu wa Tanzania  utakaofanyika tarehe 25 October 2015.
Hizi hapa baadhi tu ya picha katika matukio ya siku hiyo.

watu wakisikikiliza jumbe kutoka kwa watumishi wa MUNGU.


Mtume Onesmo Ndegi akifafanua jambo.


Kutoka kushoto aliyeshika kitabu ni mtume Peter Rashid na mkewe pamoja na watumishi wengine wa MUNGU.
Mtume Peter Rashid akiwatambulisha watumishi wa MUNGU Mitume na Manabii.
Amani ya Tanzania lazima iendelee kuwepo kabla ya baada ya uchaguzi.

Maombi ya kuiombea Tanzania yakiendelea.




Zaburi 127:1 ''BWANA asipoijenga nyumba Waijengao wafanya kazi bure. BWANA asipoulinda mji Yeye aulindaye akesha bure.'' Ni kama anasema hivyo Mtume Vernon Fernandes wakati akifundisha RGC Miracle Center.


Comments