Mtume Peter Rashid Yuko Bujumbura kihuduma

 
Mtumishi wa MUNGU Peter Rashid Abubakar yuko kihuduma nchini Burundi.

Mtume Peter Rashid ambaye  huduma yake ya  Glory to God Miracles Center ipo Jijini Dar es salaam Mbezi Mwisho, ameenda kwa mwaliko wa watumishi wa MUNGU huko Burundi.
Hizi hapa picha katika baadhi ya matukio katika Semina ya Neno la MUNGU huko Bujumbura Burundi.

ibada ikiwa inaendelea.
 

Katika uwepo wa MUNGU kuna ushindi
 
 



Mapema kabla ya kuanza kuhubiri.

Comments