![]() |
Rais John Magufuli akikagua gwaride kwa mara ya kwanza kabisa kama Amiri jeshi mkuu wa majeshi ya Tanzania na rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania |
Mh.John Pombe Joseph Magufuli ameapishwa
rasmi siku ya leo Alhamis 5,2015 kuwa rais wa awamu ya tano na Amiri
jeshi mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika sherehe
zilizofanyika leo katika Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam na
Kuhudhuriwa na Viongozi wa Kitaifa na Marais wa nchi mbalimbali za
Afrika na Dunia pamoja na mabalozi wa nchi mbalimbali wanaoziwakilisha
nchi zao hapa Tanzania.Rais Magufuli anaanza rasmi Uongozi wake
ikiwa pia ni siku ya kustaafu rasmi kwa aliyekua rais wa awamu ya nne
wa Mh.Jakaya Mrisho Kikwete.
Picha za tukio zima la Uapishwaji wa rais John Magufuli ni kama zinavyoonekana hapa
Picha za tukio zima la Uapishwaji wa rais John Magufuli ni kama zinavyoonekana hapa
![]() |
Rais John Magufuli akila Kiapo cha kulitumika taifa la Tanzania kama Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania |
![]() |
Rais John Magufuli akisaini Kupokea Uongozi kama Rais wa Tanzania |

![]() ![]() ![]() ![]() ![]() ![]() |
Makamu wa Rais Mh.Samia Suluhu akila Kiapo cha kulitumikia taifa la Tanzania kama Makamu wa Rais |
![]() |
Rais John Magufuli akipewa pongezi toka kwa Rais Uhuru Kenyata wa Kenya baada ya kuapishwa |
![]() |
Rais Magufuli akiwa na Marais mbalimbali wa nchi za Afrika |
![]() |
Rais John Magufuli akiwa na Rais Uhuru Kenyata na Mh.Raila Odinga |

![]() |
Wake wa marais wa nchi za Afrika Mashariki |





























Comments