Ni neema ya MUNGU ya ajabu na ashukuriwe MUNGU sana kwa ajili ya mtumishi wake huyu.
Hizi hapa picha katika baadhi tu ya matukio ambayo Billy Graham alihusika.
![]() |
Billy Graham amewahi kukutana na kila Rais ya Marekani kuanzia Harry S. Truman hadi Barack Obama hapa alikuwa na rais John F. Kennedy May 17, 1964 |
![]() |
Mwaka mpya wa mwaka 1988, Billy Graham akiwa na mkewe Ruth huko china. |
![]() |
Hapa ni Mwaka 1943 siku Billy Na Ruth walipofunga ndoa. |
![]() |
Billy Graham katika moja ya mialiko ya kiserikali, hapa ni July 4, 1970. |
![]() |
Billy Graham na Ruth katika mkutano wa injili huko Texas mwaka 1953. |
![]() |
Huko Miami mwaka 1961. |
![]() |
Billy Graham mwaka 2014 |
Comments