Mara tu baada ya kutua uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, TB Joshua alikwenda Ikulu moja kwa moja kumsalimia Rais Jakaya Mrisho Kikwete kumsabahi na kumpongeza kwa kufanikisha uchaguzi mkuu kwa uhuru na amani, huku akiondoka madarakani akiwa mtu mwenye furaha. TB Joshua amepongeza Rais Kikwete pia kwa kupata Dkt Magufuli kama mrithi wake, akimtaja Rais huyo mpya mteule kama Rais wa Tanzania wa Baraka na Fanaka tele katika awamu hii mpya.
Alipowasili alipokelewa na Rais Mteule John Magufuli kisha pia alimtembelea Mheshimiwa Edward Lowasa.
Hizi hapa habari Picha katika matukio ya ujio wa Mtumishi wa MUNGU TB Joshua.
![]() |
Rais Kikwete akisalimiana na TB Joshua |
![]() |
TB Joshua akiwa na Mheshimiwa Lowasa |
![]() |
TB Joshua akiwa na Rais Mteule John Magufuli pamoja na familia ya Mwesimiwa Rais Mteule |
![]() |
Mapema akiwasili alipopokelewa na Rais Mteule Mheshimiwa John Magufuli. |
![]() |
TB Joshua akisalimiana na Mheshimiwa Lowasa. |
Comments