![]() |
Zacharia Kenyata katika siku ya mwisho ya mkutano wa injili Iringa. |
Mtumishi wa MUNGU Zacharia Kenyata amemaliza mkutano wa injili wa siku nne Huko Iringa.
Watu zaidi ya 200 wamempokea YESU KRISTO kama BWANA na Mkombozi wao.
Hizi hapa picha katika matukio ya mkutano huo wa Neno la MUNGU.
![]() |
![]() |
Hakika YESU KRISTO anaokoa |
![]() |
Kwa utukufu wa MUNGU. |
![]() |
Iringa kwa YESU. |
![]() |
Wana Iringa wakifuatilia Neno la MUNGU lilikubiriwa na mtumishi Zacharia Kenyata kutoka Dar es salaam. |
![]() |
Mkutano ukiendelea hapa ni siku ya mwisho. |
Comments