Mwili wa Marehemu Enea Bukuku ukiingizwa ndani ya Kaburi 
 | 
Mwanamuziki
 Mahiri wa Nyimbo za Injili Nchini Ndugu Bahati Bukuku katika  akiwa 
mwenye Uso wa Simanzi na Majonzi katika Msiba wa Mama yake Marehemu, 
Enea Bukuku aliefariki Tar:12,01,2016 na Mazishi kufanyika Leo 
Tar:15,01,2016 katika Makaburi ya Mlima James huko Jijini Mbeya.
 Mwanamuziki
 wa Nyimbo za Injili maarufu kwa Jina la Bonny Mwaitege akizungumza 
jambo kwa niaba ya Wanamuziki wote wa Nyimbo za Injili katika kumfariji 
mwanamuziki mwenzao Bahati Bukuku katika kipindi hiki kigumu cha 
kumpoteza mama yake  Mzazi. 
   PICHA ZOTE NA MR.PENGO - MBEYA.
Comments