Matukio; Masanja akifunga Ndoa.

Askofu Ngonyani, Askofu Mwakibolwa, Monica na Emmanuel katika tukio muhimu
Msanja mkandamizaji ni jina kubwa na maarufu sana.
 Ni Mchekeshaji wa kundi la Orijino Komedi. Jina lake kamili ni  Emmanuel Mgaya na jana ameuaga ukapera kwa kufunga ndoa na mchumba wake  Monica.

Ndoa hiyo imefungwa katika Kanisa la Mito ya Baraka lililopo Jangwani jijini Dar es Salaam.

Watu wengi maarufu walihudhuria tukio hilo na Miongoni mwa wageni waliohudhuria harusi huyo ni pamoja na Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano, Dk. Tulia Ackson.




Naibu Spika Mh Tulia akiteta jambo na Askofu Bruno Mwakibolwa

Masanja akiwasili kanisani.

Waigizaji nguli wa Orijino Komedi walikuwepo

Ulinzi ulikuwa kwa viwango vingine.

Siku nyingine ni laziima uwe mpolea kama huwa, hasa kwenye matukio maalum kama haya.

Masanja akiwasiri kanisani.

Mke Mwema wa Masanja akifika kanisani.



Tayariiiiiiiiiii

Kanisani



A Point of no return

utawapenda tu

Wakati wa mahubiri, Bi harusi akisoma mwenyewe Neno la MUNGU la ahadi njema

Mchungaji mtarajiwa akisoma Neno la MUNGU

Ni nani huyoooo? Ni Monica hakika. Msanja akihakiki

Neno litasimama daima

Masanja akisaini cheti cha ndoa

Monica akisaini cheti ya ndoa.

Waite tu Masanja na Mke wake Monica au Monica na Mume wake Emmanuel.

Comments