![]() |
Kasisi huyo wa umri wa miaka 86, Kasisi Jacques Hamel, aliuwawa akiwa kwenye maombi. |
WaIslamu zaidi ya
mia moja wamejumuka na Wakatoliki katika sala iliyohudhuriwa na waumini
wengi katika Kanisa moja huko Rouen, Ufaransa.
Tukio hilo limewadia , siku tano baada ya kasisi wa kanisa hilo , kuuawa na wapiganaji wa Kiislamu.Mauaji ya hivi karibu kabisa yaliyotekelezwa na wapiganaji wa Kiislamu, yameshtua Ufaransa.
![]() |
Waislamu wajiunga na wakatoliki katika ibada |
Comments