Nguo za Ndani sio za kuweka kiholela.


SIJUI NISEME,NATAKA KUSEMA LAKNI NAOGOPA
<ACHA NISEME IL NIWAOKOE WENGI<

Ninachotaka kusema ni hiki  nguo za ndani au chupi za mwanamkeau za mwanaume, sio za kuweka kiolela hasa za wanawake labda umetoka kuoga ukafua ukaanika hapo nje na ikalala hapo, hiyo siyo tabia nzuri na ni hatari sana maana wachawi,waganga huwa wanatumia chupi  na nguo za ndani kufunga matumbo ya wanawake au wanaume.

Na sio waganga tu wapo na wanawake wengine mpo nao either mmepanga. wewe unao watoto wao hawana na wamehangaika sana kwa hiyo ili wakufanye uwe na huzuni wanakuibia nguo yako ya ndani au chupi wanaipeleka kwa waganga wanaitamkia maneno.
 Baadaa ya siku chache mara kansa ya kizazi mara sibebi mimba.
wanawake,mabint kuweni makini na nguo zenu za ndani,au chupi zenu shetani ndio mlango mkubwa anautmia kuwatesa.
 na wanaume hivyo hivyo kuwen makini sio kuweka chupi zenu nje ovyo ovyo.
wapo watu wengne hawafai wanakuibia inatamkiwa maneno,mara mwisho wa siku hakueleweki, Mara nguvu za kiume zimepotea mara magonjwa ya ajabu ajabu, hasa wanawake wabaya  usije ukamwamin mtu yeyote hata iwe ni mwanamke mwenzako.
Eti  nimekununulia chupi yako nimekuletea, tambua hakuna anayempenda mwenzake amwone akiwa na mtoto na yeye hana.

Narudia tena, wewe mdada ambaye hujaolewa usiweka nguo zako za ndani hovyo hovyo na wale wanaogaga wanaziachaga bafuni ni hatari sana, tambua hata huko bafuni wanatumwaga mapepo majini wanazichukua  zinaenda kutamkiwa huko maneno, mara mwisho wa siku mimi ni tasa or mara nimekuwa mgumba,or mara kansa ya kizazi, mwenye maskio na askie
Mtu mmoja aseme amen

Comments