TUMAINI LAKO NINI?

Na Kazabao Edson.

Nilifanya mahojiano na watu mbalimbali kuhusu Tumaini la maisha yao hapa duniani na baada ya kifo


MZEE 1(mshikamanifu wa dini)
"Hakuna la zaidi baada ya kifo
Najitahidi kutoa michango yote ya Kanisa usharika na jimbo ili nikifa WASIGOME KUNIZIKA "


MTU wa 2
Yaani
Huyu mtu anajitahidi sana kuhudhuria ibada ,kushiriki sakramenti na komunyo zote
Ili akifa afanyiwe MISA TAKATIFU ili apokelewe mbinguni


Mtu wa 3
"Sijiangaishi acha Nile DUNIA bwanaaa!
Maisha yenyewe haya mafupi
Raha jipe mwenyewe!
Wewe umewahi kumwona Mungu?
Muache kutuzuga "

Huyu mtu pia huenda kanisani
Sadaka anatoa
Ili iweje? ......ETI. AZIKWE AKIFA

BIBLIA INATOA MAJIBU YAKO
KUHUSU TUMAINI ZURI
UCHACUZI NI WAKO TU.

EZEKIELI 18:20
"Roho itendayo dhambi ndiyo itakayokufa"
Mwana hatauchukua uovu wa baba yake wala baba uovu wa mwanawe....

SEMBUSE WEWE ETI UMWOMBEE ALIYEJIFIA KATIKA UOVU WAKE?
WARUMI 6:23
Kwa maana mshahara wa dhambi ni MAITI
bali karams ya Mungu ni Uzima wa milele katika kristo Yesu Bwana weru"

UKIFA KATIKA DHAMBI MAUTI 2 ZINAKUHUSU MAUTI YA KWANZA YA MWILI KUTESEKA KATIKA MANGOJEO/KUZIMU
MAUTI YA PILI KAMA ILIVYO KATKA UFUNUO 20:11-15

WAKATI PEKEE WA KUWEKA MUAFAKA WA MAISHA YAKO KAMA BADO HUJATUBU NA KUMPA YESU MAISHA YAKO NI MUDA HUU UNAOSOMA UJUMBE HUU
Karibu Kalvari tuanze safari
Kule twangojewa

UNAHITAJI MAELEZO ZAIDI
NIPIGIE /SMS/WHATSAPP
Kazabao Edson
#+255763575550#
WAKILI WA YESU@2016/17

Comments