MASHINDANO YA MTIHANI WA BIBLIA TANZANIA awamu ya saba Jijini DSM tar 2/9/2017
Tunaendelea kupokea watu na kufanya usajili hapa Dar es Salaam Baptist
Secondary Magomeni Usalama,njoo ujisajili sasa,kama una swali lolote au
unahitaji maelezo yoyote fika kwenye kituo chetu tutakupatia maelezo ya
kushiba
Tupigie Simu kwa namba zetu hizi
0788 592989,0622 592989,0717 370472,0753 873653 mashindanoyamtihaniwabibliatz@gmail.com
 |
Comments