Nimebarikiwa na ushuhuda huu mfupi.
Jifunze kitu kitokana na ushuhuda huu kutoka kwa rafiki yangu aliyeniandikia.
"Bwana Yesu asifiwe sana Mtumishi wa Mungu aliye hai.
Hongera sana na pole pia kwa kazi njema uifanyayo ya Mungu wetu Yehova.
Kwa utambulisho, professionally mimi ni mwalimu wa cheo cha afisa elimu msaidizi.
 Nimeokoka, na Yesu ni Bwana na Mwokozi wa maisha yangu.
Kihuduma,ni mchungaji wa kanisa, lakini bado niko chini ya Mchungaji kiongozi.
Sasa ni miaka miwili tangu nianze kuchunga kanisa.
Mtumishi, nabarikiwa sana na masomo ya neno la Mungu unayopost mitandaoni.
Mungu akubariki sana. Kwangu mimi,wewe ni rafiki yangu kipenzi maana umekubali kumtumikia Mungu, naye anakuongoza katika kweli yote, ambayo nami naitafuta usiku na mchana.
Sasa, kwanini usiwe rafiki yangu?
Isitoshe tu kusema, tuombeane ili kusudi la Mungu kwetu litimie.Tutawasiliana zaidi,na natarajia kupata masomo zaidi ya neno la uzima kutoka kwako.
Mungu wetu mwema akubariki sana.
Nakutakia Siku njema."
USHUHUDA KUTOKA KENYA.
mtumishi Peter mabula jambo ya siku?
nilimjua Mwenyezi Mungu mwaka 2014 lakini kuna kitu nilitenda ambacho kinanisumbua mawazo yangu sana,
wakati ule nilikuwa na biashara na nilikuwa katika ndoa ambayo niipenda sana, lakini nilianza mipango ya kando mpaka nikalala na dada yangu.

 Baada ya hapo la ajabu kazi iliisha, biashara nikafilisika na  ndoa ikavunjika mwaka 2016. Tangu hapo 
nimeteseka vyakutosha, kulala njaa, kukosa nguo, kudharauliwa vyote nimepitia.
siku moja nikakutana mwenda wazimu(Kichaa) sehemu inaitwa ISINYA akitangaza maisha ya nabii Yona wa kwenye Biblia jinsi Mungu alipomlinda Yona hata japokuwa Yona alimkimbia Mungu lakini Mungu hakumuacha Yons. Nilipokuwa nasikia maneno ya mwenda wazimu yule moyoni nikasema mimi ni Yona, nikamwambia Mungu kwamba ''Mungu wangu nikumbuke"
Mungu akanihurumia maana
Tarehe 24/1/2018 nikapata kazi kwa com ya Ksh12,000 kila mwezi, nikamwambia Mungu asante. mwezi wa nne ndoa yangu ikafufuka, mr peter Mungu anatenda hakika na usimwache hata siku moja. Wambie watu wote wasimuacha Yesu hata Siku moja.
Mungu apewe sifa.
ndoto yangu nikutangaza ufalme wa Mwenyezi Mungu kama muhubiri.
Ni hayo, siku njema.
USHUHUDA.
Mtumishi, Plot Ambayo Nakaa Kuna Wafuasi Wengi Wa jamii Fulani, Na Ulinzi Wao Ni Majini. Mwanzo Nilipohamia kwenye Hii Plot Kulikuwa Na Paka Wengi Sana Wasio Wa Kawaida! Usiku Wa Manane Wale Paka Wakubwa Wanatembea Juu Ya Mabati Na Kulia Kama Watoto!!
Mtumishi Wa Mungu Nilihuzunishwa Sana Na Jambo Lile. Lakini Nakumbuka Katika Mafundisho Yako Ulisema siku moja kwamba Kuna Nguvu Za Ki Mungu Na Uweza Mwingi wa kumfanya Mtu Wa Mungu Kuwashinda Maadui.
Nikafanya maombi ya kufunga Na Kutokea wakati huo Sijui Wale Paka Walikufa! Au Walihamia Wapi, Sijui.
Sasa Kuna Utulivu Kw Plot! Juzi Mke Wangu Akaniuliza, Je Wale Paka Walishia Wapi Siku Hizi? Nikamjibu Kuwa Kuna Mtu Wa Mungu Alie Juu alisaidia, Alishutuka Sana!!
Mtumishi Kuna Nguvu Za Ajabu Kwa Wale Wanaokaa Ndani Ya Yesu. Ni Ushuhuda Wa Kweli huu ulionitokea Mimi Binafsi hapa Kenya.
Ameen Mtumishi hakika Ubarikiwe Sana.

Comments