SHUHUDA MBALIMBALI KUTOKANA NA MAOMBI NA PAMOJA NA MASOMO MBALIMBALI. 
Bwana YESU KRISTO atukuzwe ndugu zangu wote.
Hizi ni baadhi ya shuhuda ambazo baadhi ya marafiki zangu waliniandikia baada ya kuwaombea na wengine baada ya kusoma baadhi ya masomo yangu mtandaoni. Sifa, heshima na utukufu wote ni kwa MUNGU Baba wa mbinguni.
1. Bwana Yesu asifiwe Mtumishi Mabula.
Asante kwa neno hili ulilofundisha leo japo niko mbali na Tanzania lakini masomo yako yananisaidia sana pia naomba uniombee sana wakati wote, hii nimekumbuka mtu aliyenisababishia mpaka nikataka kuua siku ile niliyokupigia simu ni mtu ambaye nilimtafutia kazi mimi mwenyewe ila akaja kunigeuka mwanzo nilinusurika kufukzwa kazi kwa sababu yake, pili nilitupiwa mapepo na kuwekewa sumu kwenye chakula, kila nikimkumbuka mtu huyo najihisi natenda dhambi pia nashukuru kwa maombi yako Mungu kupitia wewe usiku ule alinipigania na kunishindia mpaka leo hii nipo hai namtukuza Mungu watu wa nchi ninaishi nao hapa mpaka leo wameshikwa na sintofahamu hawaamini kama nipo hai na nimepona kwa njia gani, huyo binti mwenyewe alikosa Amani baada ya kuona naendelea kuishi kwa sasa Amemaliza mkataba wake amerudi Tanzania hataki tena kazi japo alipenda kuendelea na kazi.
Na kupitia mafundisho yako ya kufuta kalenda zote za kichawi zilizopangwa juu yetu na kwa kutumia neno la Mungu Yeremia 1:10, kwa kweli nimemuona Mungu akitenda mambo makuu na ya ajabu mnoo mambo yote niliyokuwa nafanyiwa ya nguvu za giza yaliwarudia wao wenyewe mfano kuna siku walifanya mambo yao ya kichawi ikatokea kwangu hali ya kutojielewa kama kizunguzungu nikang'oa na kubomoa na kuharibu na kuangamiza nguvu za giza. Matokea yake siku mbili tu huyo mchawi aliumwa sana mpaka akafanyiwa upasuaji akatolewa kitu tumboni na mwingine alinusurika kufa kwa ajali ya umeme kwa kweli Mungu azidi kukubaliki, azidi kukufunulia zaidi na zaidi na akupe mafundisho na maono zaidi upate kutushibisha neno lake nasi tupate kupona.
UBARIKIWE MNOOO MTUMISHI WA MUNGU.
2. Bwana Yesu asifiwe mtumishi nakumbuka alhamisi iliyopita jioni nilikupigia simu kuhusiana na mpangaji wetu mmoja aliyekuwa msumbufu na mgomvi sana nawe uliponiombea ukasema kama ni mpango Wa Mungu itadhihilika na ikiwezekana kuhama na wahame haraka, namtukuza sana Mungu Jana asubuhi wamekuja kuaga wanataka kuondoka, yaani nilimshukuru sana maana wapangaji ni wengi hivyo tutapata wengine ili hawa wasumbufu waondoke.
3. Bwana Yesu asifiwe mtumishi Mabula ,namshukuru sana Mungu nilijifungua alhamisi na Sasa ni mzima wa afya na ninaendelea vizuri naomba uzidi kuniombea afya yangu iimalike zaidi. Asante sana kwa maombi yako na namshukuru sana Mungu kwa muujiza huu.
4. Amina sana mtumishi hapa nilipo nimebarikiwa sana na neno la Leo ulilopost hasa katika maombezi yako maana kiu yangu namimi ipo siku tatizo litaisha na sitasikia Tena.
Ubarikiwe sana na usichoke kunikumbuka katika huduma zote Maana siku moja nakumbuka ulinituma somo linalosema kuomba juu ya uso kiroho mimi niliona siyo bure nahisi roho wa Mungu ndiye aliyekujulisha mpaka kuniandalia somo Kama hilo Maana usiku ule ule wa kuamkia siku uliyonitumia hilo somo hiyo habari niliona ndotoni Maana niliota uso wangu umepauka sana harafu una mabakamabaka hivyo naomba Mungu aendelee tu kukufunulia juu ya maisha yetu na uzidi kutuombea kwa namna moja ama nyngne.
5. Amina. Amina. Amina! Hakika hili somo ni la kwangu kabisa Mtumishi wa MUNGU. MUNGU Roho Mtakatifu amekuonyesha kabisa ninapopita sasa hivi kupitia hili somo la kuomba popote ulipo hata kwa sauti ya chini.
Mimi huwa ninaomba hadi koo linakauka kwa sababu ya kubana sauti ili isitoke. Nilimuomba Roho Mtakatifu anisaidie mwanzoni nilikuwa nashindwa kujizuia najikuta nanena kwa sauti,nilinusurika kupigwa na mume wangu kwa ajili ya maombi ya alfajiri asubuhi nikakuta nabubujika!
MUNGU najua atanishindia.
Haya yatapita.
MUNGU wa mbinguni akubariki mno.
6. Mtumishi wa Mungu;
Mtendaji kazi katika shamba la BWANA YESU; Bwana Yesu asifiwe.
Awali ya yote napenda kutoa shukrani zangu za dhati kwa upendo wako na utayari wako uliyojitolea kumuweka katika maombi yako binti yangu tokea tarehe 20/06/2018 tokea akiwa form five.
Ukweli kipindi nilichokuomba umuweke katika maombi yako; ufaulu wake wa binti yangu ulikuwa wa chini sana na wa kukatisha tamaa. Pamoja na ufaulu wake kuwa wa kukatisha tamaa, pia sisi wazazi kwa kuzingatia Lk.18:1, tuliamua kutokata tamaa sawasawa na mwanamke mjane aliyeendelea kudai haki yake kwa kadhi wa mji fulani.
Kwa Mapenzi ya Mungu na upendo mkuu kwa familia yetu kupitia maombi yako, napenda kukufahamisha kuwa binti yetu amefaulu daraja la pili katika mtihani wake wa kidato cha SITA.
MUNGU AKUBARIKI SANA, MUNGU AKUTIE NGUVU, AMINA
7. Nashukuru Sana Kwa Maombi Yako mtumishi Kwaajili Ya Mdogo Wangu maana amepona, Mungu Akubariki Sana Na Akulinde. Nikutakie Huduma Njema Baba Yangu
8. Shikamoo mtumishi.
Ninapenda kusema asante Kwa kuniombea. Nimefaulu mitihani yangu ya kidoto cha sita. Pia ningependa kukuomba uendelea kuniombea ili niweze kupata nafasi katika elimu ya juu
9. Bwana Yesu asifiwe Mtumishi
Nashukuru kwa maombi nimeepuka na mengi.
kuna sehemu nilikuwa nafanya kazi ya ulinzi, niliachishwa kazi juzi usiku lakini usiku wa kuamkia leo majambazi wamevamia pale, wamevunja na mlinzi mmoja kauliwa.
Nashukuru kwa maombi nimeepuka na mengi
10. Mtumishi kuna somo lako kwenye facebook limenibariki sana na siwezi kukusahau katika maombi yangu somo linasema "Mungu akufunue macho ili uzione baraka zako"
11. Bwana Yesu asifiwe mtumishi.
Asante sana mtumishi kwa maombi maana nilijifungua salama mtoto wa kiume ashukuriwe Muumba wa mbingu na nchi,nisamehe bure sijakufahamisha mapema, uzazi nao unaniweka busy kidogo, tumebaki na changamoto ya ndoa bado mtumishi kama saivi na nyumbani mume wangu kahama anakuja kubadili tu nguo na kuondoka.
Endelea kuniombea mtumishi juu ya hili.

SHUHUDA MBALIMBALI. 
Bwana YESU KRISTO atukuzwe ndugu zangu wote.
Hapa chini ni baadhi ya shuhuda ambazo baadhi ya marafiki zangu wamenitumia kutokana na Maombi au kutokana na Neno la MUNGU.
Nakuletea shuhuda hizi kama zilivyo na sifa, heshima na utukufu wote ni kwa MUNGU tu mbinguni.
1. Bwana Yesu asifiwe Pastor, Namshukuru sana Mwenyezi Mungu na pia wewe mtumishi wa Mungu,hakika pastor umenitoa mbali sikuwa najua kuomba kabisa,lakini sasa nafurahi sana moyoni mwangu.nilikuwa sijui jinsi ya kutumia Jina la YESU, DAMU ya YESU, wala Bible verse katika maombi,lakini sasa naweza.
Lakini ni baada ya Mimi kukutana na mafunzo yako na ninajua ni Mungu aliyenikutanisha na mafunzo yako, yaani kuanzia nikutane na mafunzo yako maisha yangu yana utofauti mkubwa, nimeokoka na maisha ya dhambi siyataki tena. Mwanzo nilikuwa nikisoma Bible sikuwa naelewa lakina sasa naelewa. I PRAISE THE LORD FOR WHAT HE HAS DONE TO ME, MAY GOD BLESS YOU PASTOR ABUNDANTLY.
2. Bwana Yesu Kristo asifiwe.
Mungu Akubariki Sana Mtumishi Wa Mungu Kwa Mafundisho Mazuri Nimepokea Kwa Kadir Ya Mungu Alivokusudia.
Nami Nashukuru Mungu Amenisaidia Tangu Nilipofundishwa Habari Ya Kuombea Sadaka Kabla Ya Kuitoa Mpaka Sasa Mungu Amenisaidia Kuendelea Na Leo Nimejifunza Mengine Ambayo Nilikua Siyajui Lakini Somo Lako La MAOMBI YA KUOMBEA SADAKA Limenifungua Pia Kuna Ushuuda Niliusikiaga Kuwa Kuna Mawakala Wa Shetani Wanachukua Sadaka Za Watu Wanazipeleka Kuzimu Wanazichukua Kwa Ajili Ya Kuwazuia Wateule Hao Wasiinuke Kwenye Maisha Yao Wakaendelea Kumtolea Mungu, kwahiyo Nimuhimu Kuiombea Sadaka binafsi Kama Ulivyofundish Kisha Na Mtumishi Wa Mungu Kuziombea Na Kuzifunika Sadaka Kwa Ulinzi Wa Damu Ya Yesu, maana Kule Kuzimu Wakikuta Sadaka Imefunikwa Kwa Damu Ya Yesu Wanaiacha Hawaichukui. Mungu Akubariki Nafuatilia Sana Masomo Yako,,kazi Yako Si Bure Mungu Aendelee Kukufunuria Siri Zake. AMEN!
3. Bwana Yesu asifiwe mtumishi,nashukuru sana kwa maombi yako nilikua nimekushirikisha kua nilipata mtaji kidogo lakini nilikuwa ni mzito sana kuchukua hatua ya kufanya biashara, nilikuwa nimefungwa kiroho na Hali hii ilinitesa sana. Baada ya kuniombea namshukuru Mungu ametenda nimeshaagiza biashara toka Mwanza na kesho nitapokea na kuanza kuuza. Utukufu namrudishia Mungu alie hai.
4. Shalom Mtumishi ninamshukuru Mungu ninaendelea vizuri ile hali niliyokuwa ninaisikia imetoweka, nashukuru sana kwa maombi yako maana majirani waliokuwa wananichukia bila sababu wanasalimia, yupo amebaki moja tu hanisalimii anapita tu, naomba endelea kuniombea iko siku nitamshukuru Mungu Kwa Sadaka.
5. Bwana Yesu asifiwe mtumishi, namshukuru Mungu sana maana niligusa nikutumie 3,000 ya kitabu, nilipotoa tu nikakutana na muujiza.
Mungu ni mwaminifu nimekutolea 3,000 kwa ajili ya kitabu, na mimi nimetumiwa 30,000 na mzazi wangu niliihitaji juzi akaniambia mpaka wiki ijayo lakini ameweza kunitumia nilipotoa tuu sadaka yangu.
6. Shalom mtumishi, namshukuru Mungu kwa maombi yako maana
Nimejifungua jana jioni mtoto wa kike.
Kilo mbili (mimba ya wiki 34). Mimi na mtoto hatujambo, ila maziwa hayatoki toka jana na mtoto analilia kunyonya.
Endelea kuniombea tu.

SHUHUDA. 
Bwana YESU KRISTO atukuzwe ndugu yangu.
Namshukuru MUNGU naendelea maana kwa neema yake naendelea kumtumikia.
Leo nakuletea baadhi ya shuhuda ambazo baadhi ya marafiki zangu walinitumia baada ya maombi au baada ya kujifunza Neno la MUNGU.
Nakuletea shuhuda kama zilivyo na utukufu wote ni kwa MUNGU Baba wa mbinguni.
1. Bwana Yesu asifiwe mtumishi Peter.
Mungu akubariki sana kwa maombi yako , maana leo niliweza kuhubiri kanisani kwa mara ya kwanza mwaka huu , na Mungu alinitumia kwa viwango ambavyo nilikuwa sitarajii kabisa ,
Mungu akubariki sana kwa maombi yako maana nilikushirikisha kabla ili uniombee.
2. Shaloom mtumishi wa Mungu. Nakushukuru sana kwa mafundisho yako mpaka sasa kupitia mafundisho yako nimepata uponyaji. Nilisumbuliwa sana na ndoto mbaya za kuanguka kutoka kitandani na ghorofani baadae napanda ngazi nashindwa kushuka. Pia majinamizi na wachawi wamekua wakinijia usiku mara kwa mara ila mafundisho yamenipa namna ya kuomba mbele za Mungu wangu. Ubarikuwe sana.
3. Mtumishi wa Mungu;
Bwana Yesu asifiwe.
Maandiko Matakatifu 1 Wathesalonike 5:18 yanatuasa kuwa na shukrani kwa kila jambo; maana hayo ni mapenzi ya Mungu kwetu katika Kristo Yesu".
Hivyo familia yangu inapenda kuchukua nafasi hii kutoa shukrani zetu za dhati kutoka moyoni mwetu kwa wewe kukubali kumuweka katika maombi yako binti yetu.
Nafurahi kukutaarifu kuwa binti yetu amechaguliwa kusomea fani ya Sheria "Bachelor of Laws" aliyokuwa akiipenda katika Chuo kikuu cha SAUT Mwanza. Hakika kupitia wewe; Bwana ametujibu kudhihilisha ukuu wake; rehema na fadhili zake kwa wale wote wamtumainiao.
Nakutakia baraka; neema na kibali cha Mungu katika kueneza Injili hai ya Yesu Kristo kwa watu wote.
Mungu akubariki sana; AMEN.
4. Mtumishi Nashukuru Sana Kwa Maombi Yako. Mume wangu Kaja Jana kweli Mungu Ni wa miujiza Pia Kuna Kaka Yang Nilimpa Ushuhuda Kuhusu Maombi Yako Nae Ameomba Namba Zako Ubarikiwe Sana Mtumish Endelea Kuniombea Ndoa yangu Niifurahie nitakupigia mtumishi Nikipata Muda, natamani Sana Nikupgie Kwa Furaha Niliyonayo nikujulishe maana mume wangu alikuwa amesahau kabisa familia yake.
5. Bwana YESU ASIFIWE,nashukuru kwa maombi, mke wangu anaendelea vizur,maumivu ya tumbo yameondoka ila kuna kitu bado kina mtembea tumboni. mke wangu hivyo naomba uzidi kumuombea.
Ubarikiwe sana.
6. Bwana Yesu asifiwe mtumishi nashukuru sana kwa maombi yako mimi ni alex nilikushirikisha maombi ya mwanangu Jana kwamba amelazwa anaumwa,ameruhusiwa leo maendeleo yake mazuri sana,jina la Bwana libarikiwe.
Asante kwa maombi yako.
7. BWANA YESU ASIFIWE MTUMISHI MIMI NIKO DODOMA NILIKUAMBIA NASUMBULIWA NA spiritual HUSBAND UKAOMBA. MIMI ILE HALI SIJAISIKIA TENA .
8. Bwana Yesu asifiwe mtumushi. Namshukuru Mungu mtoto wangu juzi + ijumaa au Alhamis) nimerudi kazini nikambiwa mtoto katembea na nilikushirikisha jambo hilo. Na kweli nikawa nikimwambia tembea anatembea, watu kote walimshangaa na kupiga kelele.
9. Bwana asifiwe mtumishi, Mungu ni mwaminifu kwako maana amejibu maombi uliyoniombea, Mungu amejibu vilevile mtumishi.
Ubarikiwe na nakutakia siku njema.

Comments