SHUHUDA MBALIMBALI.
1. Bwana Yesu apewe sifa Mtumishi Mabula.
Mungu akubariki sana kwa kazi aliyokupatia ya kusaidia kondoo wake. Siku niliyokutumia meseji nakwambia kijana wetu kuwa katoweka katika mazingira hayaeleweki hatujui kaenda wapi ili umuombee, ukajibu "acha tu tuombe na Mungu wetu atatenda muujiza".
Hakika Mungu ni mwaminifu kijana alirudi nyumbani kesho yake akiwa anatisha alivyokuwa kachakaa. Namshukuru Mungu kukufanya wewe Mtumishi na ukakubari kutusaidia maombi na Mungu akatenda muujiza.
Natumaini umenikimbuka unayo historia yangu ndefu hata Facebook messenger unazo meseji zangu ndefu. Amani na Salama!

2. Hellow! Mtumishi wa Mungu, namshukuru Mungu kwa maombi yako  nilifanikiwa  kufungua duka!  
Ubarikiwe sana Mtumishi.
Bado naitaji Maombi nipate wateja mtumishi.
Mungu akubariki sana.
3. Shalom Mtumishi Mabula.
Maombi yako kusema ukweli yamenifungua mtumishi, Mungu atazidi kukuinua na tunazidi kukuombea nyumbani kwangu nimewaprintia na watoto wanaomba sasa.
4. Bwana Yesu asifiwe Mtumishi.
Namshukuru Mungu kwa ajili ya masomo unayofundisha, ubarikiwe sana asilimia kubwa wengi tumejua kutumia damu ya Yesu kupitia mafundisho yako, kibinafsi naona mabadiliko sana katika maisha yangu Mungu aendelee kukutumia .
Amen
BAADHI YA SHUHUDA.
1. Bwana YESU atukuzwe mtumishi Mabula, kwa mara nyingine najitambulisha kwako natokea mkoani Simiyu wilaya Meatu, mara ya kwanza nilipokuwa naumwa nilikuwa nashindwa hata kuandika meseji kwa sababu ya maumivu ya kibofu changu, kiukweli kibofu kilikuwa kinauma sana wakati wote na wakati wa kukojoa ndio maumivu yalizidi, lakini kweli MUNGU acha tu aitwe MUNGU. leo naweza kuandika meseji kwa sababu ya furaha maana nimepona, namshukuru sana MUNGU kweli anaweza yote.
Uliponiombea tu hazikupita hata siku tatu nikapona kabisa yaani sijui nisemeje maana kwa muda mrefu nimekunywa madawa ya kienyeji mpaka nikasema basi, tena madawa machungu usiseme, kwa kweli hayo ndio mimi MUNGU amenitendea.
Namshukuru sana MUNGU na asante kwa maombi yako.
''AMINA SANA.'

2. Bwana Yesu Kristo asifiwe Mtumishi.
Nashukuru Mungu baada ya maombi yako nimelala salama na nimeamka salama na hata leo niko kwenye maombi, haikuwa hivyo kabisa muda mrefu, asante Yesu, Mungu akubariki Peter na nakutakia siku njema.
3. BWANA YESU asifiwe! MUNGU akubariki sana mtumishi kwa somo lako ulilofundisha FACEBOOK "wasaidie watu kutokana na ulichofunuliwa na MUNGU juu yao" nimebarikiwa sana! MUNGU awe nawe popote ulipo, Mimi niko Tabora.
2/02, 9:16 am] Peter Mabula: Bwana YESU asifiwe Mtumishi wa MUNGU. Asante sana kwa kuendelea kunitumia masomo kwa ajili ya maombi ya mfungo. MUNGU akubariki mno.
4. Shalom Mtumishi.
Kabla sijaandika ndoto ngoja nikueleze machache kuwa niko kwenye kundi la wanamaombi wa mkoa kwa ajili ya kuomba juu ya mkoa na nchi.
Mwanzoni mwa mwezi huu tulipangwa vikundi vidogo vidogo 7 kwa ajili ya kuomba kila siku juu ya nchi na Kanisa la MUNGU na Watumishi wake.
Tulijulishwa kuwa kuna mipango ya siri imeandaliwa kuzimu na shetani kwa ajili ya kuangusha Watumishi wa MUNGU kwenye uzinzi na uasherati na kuwafungia kabisa wasiweze kutengeneza na MUNGU na matokeo yake kujinyonga! Tuko tunaomba na kulia rehema za MUNGU aingilie Kati.
Basi wakati niko natafakari juu ya hayo na Neno la MUNGU, nikapewa kwa msukumo mkubwa kuwa Kanisa linahitaji kuongozwa na Roho Mtakatifu na siyo kimazoea. Pamoja na maandiko mengine niliyosoma lakini niliposoma Warumi 8:14 ... niliogopa sana kwa sababu tafsiri yake wasioongozwa na ROHO MTAKATIFU siyo wana wa MUNGU!
(Baada ya hapo ikafuata ndoto, kwa sababu maalum sijaipost)
Ubarikiwe uliyejifunza kitu katika shuhuda hizo, endelea kumpenda YESU KRISTO na MUNGU akubariki sana.
By Peter Mabula.
Mtenda kazi katika shamba la MUNGU.

Comments