SHUHUDA 
Bwana YESU KRISTO atukuzwe ndugu zangu wote.
Hapa chini ni shuhuda mwili.
Hizi Shuhuda Mbili Niliandikiwa na Marafiki zangu Wawili, Mmoja Baada ya kumuombea Kwa Simu na Mwingine Baada ya Kujifunza Somo na Maombi.
Nakuletea shuhuda hizi kama walivyoandika wao isipokuwa nimeondoa tu majina, sifa na utukufu wote ni Kwa MUNGU Baba wa mbinguni.
1. Bwana apewe sifa, nashukuru Sana kwa somo hili liitwalo SILAHA ZA KIMAANDIKO ZA MAOMBI YA VITA. Nimelisoma nimeelewa Sana. Kwa kweli Mchungaji nashukuru mno kwa haya mafundisho yananielekeza vizuri, mwanzoni nilikuwa Sijui kabisa jinsi ya kuomba utakuta naomba lakini najisahau kulitaja Jina la YESU wakati wa kuomba nakumbuka mwishoni. Pia sikuwa na mpangilio katika kuomba ila kidogo naanza kuimarika kupitia mafundisho yako,naomba nikifika mwisho nahisi Kuna mapungufu katika maombi niliyoomba, najisemea kimoyoni nitaomba Tena baadae. Ndio maana ukituma tu somo nalisoma kwa umakini na kurudiarudia ili niweze kujipima, kwa kweli najiona naanza kuwa vizuri. Pia Mchungaji tunashukuru kwa somo hili kweli kabisa sisi tunaopitia Vita nyingi za kiroho kwa kweli tunateseka Sana, kwa mafundisho haya tutazitumia silaha hizi vizuri katika maombi dhidi ya Vita za kiroho.Nina Imani Tutashinda Vita hizi za kiroho.Ninashukuru Sana Mchungaji Ubarikiwe Sana.
2. BWANA YESU asifiwe Mtumishi wa MUNGU. Ninamshukuru sana MUNGU kwa ajili yako juzi ulivyo niombea kama siyo neema ya KRISTO YESU na maombi yako jana usiku sijui ni nini kingetokea juu ya maisha yangu. Nimepata mashambulizi si ya kawaida nikashindwa hata kuomba nikabaki naita tu YESU na DAMU ya YESU inisaidie. Ilikuwa hivi:
Ilikuwa usiku saa 2.30 usiku tukiwa mezani kujiandaa kula nikampigia mume wangu ili kumuita tuje kula kwa sababu hakuwa nyumbani. Nilipopiga simu yake ikawa iko busy inaongea nikaendelea kushikilia ghafla simu yangu ikawa kama imepokelewa nikaanza kusikia mazungumzo aliyokuwa anaongea mume wangu na mwanamke, kwa sababu simu yangu ni kama iliingilia maongezi yao nikasikia mume wangu akimwita jina huyo mwanamke " unanisikia....mchana nilishindwa na wewe saa hizi umeshindwa", ikawa simu haipigiki vizuri ikakata. Nikapiga tena ikapokelewa nikasema "haloo mume wangu" akaitika akasema akimtaja Kwa jina huyo mwanamke akisema "unanisikia" nikamwambia "ndio nakusikia. ..."yaani hapo hakutambua sauti yangu wakati huo huo kwenye line alikuwepo huyo mwanamke ambaye alikuwa anamwita jina ! Simu ikakatika. Nikapiga tena akapokea akaniambia unasemaje mama, wakati huu hakukua na mwingiliano tena. Nikamkaribisha chakula. Akaniambia nakuja sasa hivi mwambie mtoto anifungulie geti nikamwambia nakuja kufungua mwenyewe. Nilipofungua geti sikumuona getini Nikamuone kwa mbali akiongea na simu. Akaja akaingia kwenye gari aliyokuwa ameipaki nje ya geti akaingia ndani akatoka kwenye gari nikamsalimia akaniambia natoka nitarudi baadaye. Nikamuliza unaenda wapi tena Usiku huu, akaniambia kuna baba wa hapo jirani anaenda kuonana naye.
Kwanza kabisa nilipojua mume wangu anawasiliana na mwanamke ambaye wana mabusiano nilimwomba Roho Mtakatifu anisaidie ili nisiumie....hii ilikuwa kabla sijaenda getini. Lakini nilipoona anataka kutoka nilipounganisha na mazungumzo aliyokuwa nayo ghafla nikapata uchungu moyoni nikaanza kulia, akaniuliza nini? Nikamuuliza huyo mwanamke ni nani? Akasema hamjui . Niliishiwa nguvu nikakaa chini getini. Nililia sana. Nilipiga kelele kubwa. Akaanza kunibembeleza.... ilinichukuwa muda ndani nikimweleza YESU nisaidie!
Hali yangu siko vizuri.
MUNGU wa mbinguni aendelee kukutunza na kukubariki Mtumishi wa MUNGU kwa namna ambayo unaendelea kuniombea. Asante sana.

SHUHUDA MBALIMBALI. 
Bwana YESU KRISTO atukuzwe ndugu zangu.
Hapa chini ni baadhi ya shuhuda ambazo baadhi ya marafiki zangu walinitumia.
Shuhuda hizi zinatokana na maombi na zingine zinatokana na Neno la MUNGU.
Nakuletea shuhuda hizi kama zilivyo.
Sifa, heshima na utukufu wote ni kwa MUNGU Baba wa mbinguni.
1. Bwana Yesu apewe sifa mtumishi, nashukuru nilikushirikisha suala langu la kupata mume,nimeshapata mchumba,tuombee uchumba huu usikawie pia uwe na mwisho mwema wa kuingia katika ndoa.
2. Bwana Yesu apewe sifa na utukufu mchungaji.
Nimesoma somo hili nimelielewa.
Mchungaji namshukuru Sana Mungu kupitia mafundisho yako pamoja na kitabu ulichonipa na maombi uliyoniombea nimeanza kupona.
Siku hizi Yale mawazo yaliyokuwa yananiumiza kwa kweli hayapo kabisa Sasa naona amani na furaha ya maisha vimeanza kunijia. Sasa niendelee kukuomba Tena Mchungaji uniombee na sadaka nitatoa juu ya maombi ya kuendelea kupata amani zaidi, maombi ya kuondoa Vita dhidi yangu na maombi ya kuniweka karibu Sana na Mungu ili niwe na Imani iliyoimarika. Pia baada ya hayo nataka nitoe sadaka ya Shukrani kwa Mungu kwa kushinda katika mapito yote niliyoyapita na Sasa niko huru na amani inaanza kunirejea. Namshukuru Sana Mungu kwa yote aliyonitendea pia nakushukuru Sana Mchungaji kwa kuniongoza,Naamini huu Ni mpango wa Mungu nije niponee kwako.
3. Mtumishi wa Mungu,hakika Nina ushuhuda,uliponitumia funzo kwa ajili ya kukataa nguvu za kimapepo. Kabla ya hapo ilikuwa kila baada yakufika nyumbani nikiwa na mtoto nilipata uvamizi wakunyongwa usiku but kwa sasa Mungu alinipigania yaani nashukuru sana,nilikuwa nina Vita hapa kwa Boma mama mkwe na shemeji yangu mdogo wanisemezeshi saa sijui shida iko wapi naomba utuombee,pia Nina mwanangu kifungua mimba msichana miaka 7,uwa alali usiku nikulia nakuangaika tuu,janga la kunyongwa na majini lilikuwa nitatizo kubwa sana hapa hadi nilipofanyia kazi funzo lako.
4. Bwana asifiwe mtumishi, naendelea kuuona utukufu wa Mungu maishani mwangu,sitakataa tamaa ntaendelea kumsifu amina pia baba nitapiga simu tena uniombee, muda mfupi ulioniombea nimeona mabadiliko sana.
5. Bwana Yesu asifiwe mtumishi, mimi nimejifungua mtoto wa kike salama anaitwa lrene namshukuru Mungu.
Asante sana kwa maombi yako.
6. Bwana asifiwe Mtumishi, nashukuru kwa maombi yako mama yangu ameamka salama kabisa.
Mungu wa mbinguni ashukuriwe sana. barikiwa
7. Bwana Yesu asifiwe mtumishi.
Asante sana kwa maombi yako niliyokushirikisha, mtoto wangu aliyekuwa amepotea amepatikana kabisa. MUNGU NIMWEMA.NITAKUPIGIA UMUOMBEE PEPO LA KUKATAA SHULE LIMTOKE.UBARIKIWE SANA
9. Bwana Yesu asifiwe,,, nashukuru Mungu wateja wanakuja kidogo kidogo ila nashukuru sio kama mwanzo. japo bado changamoto ila nashukuru Mungu na asante sana kwa maombi yako mtumishi.
10. Shalom mtumishi.
Mtumishi nashukuru sana kwa maombi yako hakika yanatenda kazi, jana ni mara ya kwanza kumsikia mchumba wangu akitaja swala la ndoa naomba usiache kuendelea kutuombea.
Mungu akubariki sana sana na sana.

Comments