KAZI YA KUHUBIRI NI YA NANI?


MWANAJESHI MWINJILISTI  ALIYEOKOKA AKIMBATIZA MWANAJESHI MWENZAKE BAADA YA KUKUBALI KUMPA YESU MAISHA  YAKE NA HAPA WAKIWA VITANI.
Matendo 1:8 [Lakini mtapokea nguvu akiisha kuwajilia juu yenu ROHO MTAKATIFU; nanyi mtakuwa mashahidi wangu katika Yelusalemu, na katika Uyahudi wote na Samaria na hata mwisho wa nchi] ndugu yerusalemu, uyahudi na samaria ya leo ni nyumbani kwako kwa majirani, kazini kwako na sehemu yeyote ulipo YESU anataka umtumikie kwa kuwaleta watu kwake ili waupate uzima wa milele, be blessed
Photo: www.maishaushindi.blogspot.com



BY www.facebook.com/maishaYaUshindi.]

Comments