KUHAMA KUTOKA ANALOG KWENDA DIGITAL


Tarehe 31 December 2012 hapa Tanzania itazimwa rasmi mitambo ya Analog  na pia katika nchi ya Kenya itakuwa hivyohivyo mitambo ya digital TV  itachukua nafasi mahali ya analog TV  tarehe hiyohiyo kama hapa Tanzania hivyo Kama huna kifaa hiki TV hutaweza kuangalia vituo mbalimbali vya luninga. je uko tayari kuhama kutoka analog TV kwenda Digital TV? Au utakaa bila TV? serikali imeshatangaza muda mrefu ili wananchi wajiandae na mabadiriko hayo ya teknolojia. ni wajibu ya makampuni ya ving'amuzi kuboresha huduma na kuwa karibu na watumiaji pia kurahisisha upatikanaji wa vifaa husika.MUNGU akubariki unapojiandaa na sikukuu ya Christmass ya ukumbusho wa kuzaliwa kwa BWANA wetu na mwokozi kwa watu wote YESU KRISTO {Yohana 14:6] pia ukijiandaa na mwaka mpya wenye mambo mapya yakiwepo hayo ya digital TV.

TING

MFUMO WA ANALOG AMBAO UNAONDOLEWA TAREHE 31 DEC 2012


DEKODA

KAMPUNI YA TING

STARTIMES

ATN KATIKA KING'AMUZI CHA TING

DEKODA KIFAA AMBACHO KITATUMIKA BAADA YA ANALOG KUZIMWA NA DIGITAL KUCHUKUA NAFASI

Comments