NIMEAMUA KUMFUATA YESU


  • Mtu binafsi unaamua kumfuata YESU ili usiende jehanamu na BIBLIA inasema kitendo cha mtu mmoja tu kuokoka basi malaika wanashangilia mbinguni hivyo ni hii ni nafasi kwa wewe ambaye bado hujaokoka wakati wa wokovu ni sasa hivyo chukua hatua.

    www.maishaushindi.blogspot.com

    Bali wale waliompokea YESU aliwapa uwezo wa kufanyika watoto wa MUNGU, ndio wale waliaminio jina lake {YOHANA 1:12} Ubarikiwe sana mtoto wa MUNGU popote ulipo na nakutakia siku njema.

    Photo: www.maishaushindi.blogspot.com

    UFUNUO 3:20 {Tazama nasimama mlangoni nabisha; mtu akiisikia sauti yangu na kuufungua mlango nitaingia kwake nami nitakula pamoja naye na yeye pamoja nami}ndugu mlango ni moyo wako wako na YESU anataka aingie moyoni mwako ili awe BWANA na MWOKOZI wako ili akurinde na kukupa uzima wa milele
    MUNGU AWABARIKI SANA NA HII IMETOKA KWENYE PAGE YETU YA www.facebook.com/maishaYaUshindi.

Comments