{kuna mzee mmoja mkware alikuwa anajiiba kwa mama mmoja jirani na anapoishi na familia yake, kama umbali wa kilometre moja kutoka nyumbani kwake. huyo mzee alikutana na huyo mama maeneo tofauti na hapo mtaani wanapoishi, katika mazungumzo wakajua kwamba ni majira. kutoka na mzee kuwa na note huyo mama alijiingiza japo alijua huyo mzee kaoa. mzee alianza kuhaga anakwenda safari kumbe anakwenda kujipoza kwa huyo mama, matokeo yake wakapata mtoto wa kike. walificha siri kwa zaidi ya miaka 20 noma ilianza pale mtoto wa kike wa huyo mzee alipopata boyfriend. in fact mke wake wa ndoa naye alishashitukia dili, ila kwa wazungu na unafiki wao walikuwa wametengana chumbani kwa manufaa ya mtoto wa wakiume amalize masomo yake bila kuchanganywa na criss hiyo ya baba na mama. lakini kumbe dogo alipokuwa anarudi rikizo kutoka shule alikuwa na girlfriend, na akampa mimba kwa sababu mtoto wa kike alikuwa amezimika sana aligoma kutoa mimba baada ya kushauriana na bfriend wake.
KIZAA KIZAA HUYO DADA alikuwa ni mtoto wa baba yake kwenye nyumba ndogo. issue
iliposhitukiwa na wazazi ilizua patashika kwenye nyumba zote mbili hiyo
ilikuwa kati ya mama na mama na baadaye baba jinsi ya kuokoa jahazi la
hiyo mimba maana dogo hataki kuitoa na wao hawajamwambia ukweli wa
nyuma ya pazia. siku moja msichana yuko chumbani kwake wao bila kujua kama yupo wakawa wanaongelea hiyo issue. mtoto akaisikia. akaenda kwa boyfriend wake kwa majonzi wakala dili na kumuua baba yao. mimi nii issue kila nikiipa nafasi kichwani nashindwa ningesima wapi? kama ningegundua mpenzi wangu ni ndugu yangu. wahusika wamefichwa majina na mahali kutoka na unyeti wa hii issue ni true story} NDUGU ZANGU WAPENDWA HAYA NDIO YAPO DUNIANINA NDIO MAANA KATIKA BIBLIA MUNGU ANAKATAZA KUZINI NA UASHERATI KWANI NI DHAMBI MBAYA SANA NA LICHA YA KUWA TU DHAMBI HAYA YAMESABABISHA NDOA NYINGI KUVUNJIKA NA VIFO VINGI TU KUTOKEA MFANO HAWA VIJANA WAASHERATI WANAPANGA KUMUA BABA YAO MZINZI NA JE KWANINI MWANANDOA USIRIDHIKE NA MWENZIO? NA KAMA UNAONA ANATATIZO KWANINI USIMSAIDIE NA KUMWOMBEA? KWANI MATATIZO HAYAKIMBIWI UNAWEZA UKAKIMBIA KUTOKURIDHIKA KIMAPENZI UKAKIMBILIA KIFO AU UKIMWI KWA HAWARA AU BUZI. HUU NI WAKATI WA WANADAMU KUBADIRIKA NA KUMPA YESU MAISHA. KWANINI KUKITAFUTA KIFO KWA MKE/MME WA MWENZIO? MUNGU ATUSAIDIE WATU WAKE ILI TUIKIMBEI DHAMBI HII. UBARIKIWE SANA
![]() | ||||
HIZI
NI NYAKATI ZA MWISHO AMBAZO WATU WATAPENDA YA DUNIA KULIKO KUMPENDA
MUNGU. USALITI KAMA HUU WA NINI? HII NI KUTAFUTA KIFO CHA MAPEMA
|
Comments