Mwimbaji wa nyimbo za injili Naomi Joel atazindua albamu yake ya JINA LA YESU katika kanisa la Akuzamu
International lililopo posta jijini Dar es salaam jumamosi tarehe 27April 2013 . Tamasha hilo la uzinduzi litasindikizwa na waimbaji wengi wa nyimbo za injili na litafanyika saa 8 mchana, kwa wakazi wa Dar es salaam na maeneo ya jirani hii siyo ya kukosa.
ubarikiwe sana kaka na nisamehe pia maana ni bahati mbaya sikutoa tarehe , ngoja nirekebishe kwa kuongeza tarehe na hii ilisahaulika tu ila uzinduzi ni jumamoso tarehe 27 April 2013 katika kanisa la akuzamu posta jijini dar es salaam kwa mvhungaji Edward Amri
Comments