NDOA ISIYOLINDWA NA MAOMBI YA WANANDOA WENYEWE

Pastor Donis and Nnunu Nkone,
Pastors of All Nations BreakThrough Church - Gahanna Ohio.

NDOA ISIYO-LINDWA NA MAOMBI YA WANANDOA WENYEWE:
Ndoa isiyolindwa kwa maombi ya wanandoa wenyewe hai-ishi kupatwa na matatizo. Historia inaonesha kwamba Wanawake ndio waombaji wazuri sana wa ndoa zao na familia zao pia. Jamani akina mama, msichoke kuombea ndoa zenu. Sasa basi, wewe ukiwa ni mama kijana unayependa u-model, kuvaa, shopping, Party kwa sana, ILA HUPENDI KUOMBEA NDOA YAKO, Please stop that lifestyle uanze kuombea ndoa yako. Akina baba lazima mjue kuombea ndoa zenu. JAMANI SHETANI ATAWAGALAGAZA NINYI, Heeeee aiseee ! Wanandoa wasio-omba hugombana mara kwa mara, hupenda sana mambo ya ujana-ujana, . . . wanapenda sana ku-party - wako radhi kukosa maombi kanisani lakini siyo Parties na sherehe, . . .
From our Book !



Pastor Donis and Nnunu Nkone,
Pastors of All Nations BreakThrough Church - Gahanna Ohio.

Comments