Matayarisho ya albamu iitwayo AMUA MOJA kutoka kwa Agnes Kombe.


Wapendwa katika BWANA kaa tayari kupata albamu mpya audio na video ya mwimbaji mahiri Agnes Kombe wa Kibondo Kigoma, iitwayo AMUA MOJA, hii ni sehemu ya utayarishaji wa video hiyo inayotayarishwa na Number 1 Productins jijini Mwanza, Producer akiwa ni Lucas Michael Magare.albamu hii itakuwa tayari mitaani katikati ya mwezi huu wa October.



USIIKOSE ILIUSIKIE UJUMBE MZURI UTAKAOKUPA NGUVU NA MATUMAINI KATIKA SAFARI YA KWENDA MBINGUNI.

Comments