![]() |
Mtume. Peter Rashid Abubakar na Apostle Francis Musili wa Nairobi Kenya |
Mtume Peter Rashid Abubakar ambaye pia mwanzilishi wa huduma ya Glory to God Miracle Center(House of Prayer For All Nations) Tanzania jijini Dar es Salaam amtembelea Apostle Francis Musili wa Nairobi huduma ya ATG
Na leo Jumatano tarehe 26.02.2014 Mtume. Peter Rashid Abubakar ameanza rasmi semina ya ndani na kurushwa hewani Live kwa Radio ya ATG ya Apostle Musili. Watu wamefunguliwa na nguvu ya MUNGU kushuka na kuwaweka huru watu wengi
![]() |
Apostle Francis Musili wa Nairobi Kenya |
Hakika huyu ndiye MUNGU.
![]() |
Mtume. Peter Rashid Abubakar na Apostle Francis Musili |
Comments