![]() |
Askofu Godfrey Mdimi Mhogolo wa Kanisa la Anglikana Dayosisi ya Cetral Tanganyika |

Askofu Mhogolo alikuwa askofu wa tano wa dayosisi ya Central Tanganyika na atazikwa katika viwanja vya kanisa Kuu la Roho Mtakatifu Mjini Dodoma.
Hata hivyo Mchungaji Michael Nchimbi alisema mipango ya mazishi inaendelea na taarifa zitatolewa baadaye.
Askofu Mhogolo enzi za uhai wake. |
![]() |
Comments