HABARI PICHA:UZINDUZI WA MESS JACOB UBUNGO PLAZA

Joshua Makondeko akifanya yake jukwaani.
Binti afrika Miriam Lukindo Mauki kwenye mic kama kawa
Nyomiiii!!

Bahati Bukuku  alikuwepo
Atosha Kissava kienda sawa mdau wangu.
Hivi ulisema leo mechi ya nani na nani!!...Big boss George Mpela kutoka 99.3 Praise power radio  kulia akimuuliza Silas Mbise wa Wapo Radio
Mzee wa ni kwa neema Edson Mwasabwite akiwa na Victor Aron

Comments