Karibu sana katika sehemu ya mwisho ya majina na maana zake. twende.
Yafethi = Yeye anapanua
Yairo = Yeye anaangaza
Yakobo = Anayeshika kisigino. Msaliti
Yeftha = Yeye (MUNGU) anafungua
Yeremia = MUNGU ni mkuu. MUNGU anainua.
Yeriko = Mji wa manukato. Mji wa mwezi mpya
Yeroboamu = Mataifa watakuwa wengi. Taifa litapigana.
Yerusalemu = Msingi wa amani. Nyumba ya amani.
Yesu = Yoshua = MUNGU anaokoa. MUNGU ni wokovu
Yezebeli = Ambaye hajaolewa. Kuinua
Yezreeli = MUNGUu anapanda
Yoabu = YEHOVA ni baba
Yoashi = BWANA anatoa. BWANA anakuja (kusaidia)
Yoeli = BWANA ni MUNGU
Yohana = YEHOVA ni wa huruma
Yona = Njiwa
Yonathani = YEHOVA ametoa
Yordani = Unawaanguka. Unawatelemka
Yoshua = YESU = YESU anaokoa. YESU ni wokovu
Yuda = Yeye (BWANA) ashukuriwe. Anayeshukuriwa
Yusufu = (BWANA) anaongeza. Anafukuza
Zabuloni = Makao. Pakuishi. Nyumbani
Zakaria = YEHOVA amekumbuka
Zebedayo = Zawadi ya MUNGU. MUNGU ni zawadi
Zekaria = YEHOVA amekumbuka
Zena = Zawadi ya Zeus (miungu)
MUNGU akubariki sana na kama huyaona majina mengine likiwemo jina lako
FUNGUA HAPA
Pia mengine yako FUNGUA NA HAPA
na mengine yako HAPA
MUNGU akubariki sana ni mimi ndugu yako
Peter Michael Mabula
Maisha ya ushindi Ministry 0714252292
Comments