Mweshimiwa Samwel John Sitta amshinda katika uchaguzi wa kumchagua Mwenyekiti wa bunge maalum la katiba, ambapo amemshinda mbinzani wake pekee katika nafasi hiyo mweshimiwa Hashim Rungwe.
Ambapo Mh. Sitta ameshinda kwa kula 469 huku Mh. Rungwe amepata kura 69.
Hongera Mweshimiwa Sitta ambaye pia ni mzee wa kanisa KKKT.
Ambapo Mh. Sitta ameshinda kwa kula 469 huku Mh. Rungwe amepata kura 69.
Hongera Mweshimiwa Sitta ambaye pia ni mzee wa kanisa KKKT.
![]() |
Mh. Samwel John Sitta. Mwenyekiti wa bunge maalumu la katiba. |
Comments