Picha za Harusi ya mtoto wa kwanza wa kike wa Rais Robert Mugabe wa Zimbabwe


Marais mbalimbali wa nchi za afrika, Mabillionea, Wafanya Biashara Matajiri, Wasomi na ndugu pia hivi karibuni walipata fursa ya kuhudhuria harusi ya mtoto wa kike wa kwanza wa Raisi wa Zimbabwe Robert Mugabe aitwae Bona.
bona-16
Kwenye harusi hiyo wageni wapatao 4000 walipata pia fursa ya kuona Mjengo wa familia ya Mugabe ambao ulikua mjengo wa siri kwa miaka mingi sana

Msemaji wa Rais Mugabe anaejulikana kwa jina la George charamba amesema Nyumba hiyo ya Mugabe thamani yake ni zaidi ya Millioni 10 za kimarekani , ilitengenezwa kwa michango kutoka Zanu PF pamoja na wengine wasiojulikana

hizi ndio Picha chache za harusi io na pamoja na jumba ilo

bona- 
bona-12 
 
bona-17 
bona-21 
 
 
mugabe2 
mugabe3 
 
mugabe5 
chanzo:mjap inc blog

Comments