EDSON MWASABWITE KUACHIA ALBAMU YA PILI YA MUNGU AMENIHURUMIA ASILIMIA 100.

Edson Mwasabwite
Mwimbaji wa nyimbo za injili  Tanzania Edson Mwasabwite amekamilisha albamu yake ya pili ya NI MUNGU TU AMENIHURUMIA ASILIMIA 100. Mwimbaji huyu ambaye alifanya vizuri sana katika albamu yake ya kwanza ya NI KWA NEEMA TU ambaye imetesa na hata sasa inatesa sana. ni mwimbaji mwenye kipaji sana.. Mdau wa nyimbo za injili  kaa tayari kununua DVD ya mwimbaji huyu. barikiwa sana.

Comments