The University of Nottingham's Revival Gospel Choir washinda jijini London


Waimbaji wa Revival Kwaya wakati wa matayarisho
Wanafunzi 45 wamejishindia zawadi mbali mbali kwenye mashindano ya Kitaifa ya kwanya nchini Uingereza.

Chuo kikuu cha Nottingham's Revival Gospel Choir,wameshika nafasi ya kwanza katika mashindano hayo ambayo ni yamefanyika kwa mara ya nne jijini London.Mashindano hayo ni kwa ajili ya kwaya za vyuo vikuu.

 Mwanafunzi wa Uingereza Collete Davie 20,ambaye amejiunga na kwaya hiyo miezi 18 iliyopita amesema,"Tulikuwa tukisikiliza wenzetu wakiimba wakati sisi tukiwa nyuma ya jukwaa,tuliogopa lakiniMungu alitupa ujasiri zaidi."

Vyuo vilivyoshiriki ni Coventry, Portsmouth, Reading, the City University in London, Royal Holloway in London, na washindi wa mwaka uliopita Manchester University.
 
credit: kwa ushirikiano na Grana Gospel news

Comments