Unastahili kuabudiwa kutoka kwa Upendo Nkone.


BWANA YESU asifiwe, ni jumapili ya furaha na ya kupokea baraka za MUNGU wetu. Ukiwa katika furaha ya weekend na baada ya kutoka kumwabudu MUNGU Nakuletea video ya Wimbo Uitwao UNASTAHILI KUABUDU kutoka kwa UPENDO NKONE moja ya waimbaji bora kabisa wa nyimbo za injili Tanzania.

Barikiwa sana.

Comments